Simba wakaa mezani na Pluijm kwa saa sita
![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3erL*sNa94sB2Vrg9mpceuJFuLho-pdidmfnMoKsW2FeY2T1fM1L5H-4zMsif504fKNADk41d9Dhty7mPyfrMIz/33.jpg?width=650)
 Na Hans Mloli USAJILI wa kuwindana unaendelea kushika hatamu lakini upande wa pili wa shilingi juzi Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm na baadhi ya viongozi wa Simba, waliweka tofauti hizo za soka pembeni na kufanya mazungumzo kwa takribani saa sita na ushee. Viongozi hao walikutana na kocha huyo na kukaa meza moja na kuzungumza huku wakipata vinywaji walipohudhuria kwenye tukio zima la utoaji wa tuzo za...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Simba waanza kulegeza kamba, kazi kwa Mo kuweka mzigo mezani
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Lile dili la mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohamed Dewji kununua hisa katika klabu ya Simba SC linaonekana kuiva baada ya makamu wa rais wa Simba kuzungumzia dili hilo kuwa ni jambo nzuri la linafaida katika soka la sasa.
Akizungumza katika kipindi cha E Sport kinachorushwa na E Fm,...
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Dk. Slaa ahojiwa kwa saa sita Polisi
Aziza Masoud na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana lilimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa, kwa zaidi ya saa sita kuhusiana na tuhuma za mauaji dhidi yake.
Hilo limetokea siku moja baada ya mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Khalid Kagenzi, kueleza jinsi alivyoteswa na walinzi wa Chadema na hata kumuhusisha na tishio la mauaji ya kiongozi huyo.
Dk.Slaa alihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CcPcHcmihOc/VVUusfh2mKI/AAAAAAAHXV8/UaKwEvbKUeQ/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
HII NI NYUMBA YA MICHEZO TANZANIA….YAHUSIKAJE?? SAA 3 ASUBUHI HADI SAA SITA ZA MCHANA-SPORTS HEADQUATERS..
![](http://3.bp.blogspot.com/-CcPcHcmihOc/VVUusfh2mKI/AAAAAAAHXV8/UaKwEvbKUeQ/s640/unnamed%2B(8).jpg)
1. MAULID KITENGE NI NANI?,Huyu ni mtangazaji nguli wa Sports Tanzania, aliyetumia kipindi cha miaka kumi na nne(14) kwenye moja kati ya vituo maarufu nchini Tanzania, na mwanzilishi wa Sports E FM Radio, ambae anafahamika sana kwa utangazaji wake maridhawa, na maswali yenye kutia...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Wakenya wakanusha kupambana na polisi kwa saa sita
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5ty75VFGexI/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
10 years ago
MichuziPOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE
11 years ago
Mtanzania09 Aug
Sakata la SIKIKA latua mezani kwa Ghasia
![Hawa Ghasia](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Hawa-Ghasia.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
Na Khamis Mkotya, Dar es Salaam
SAKATA la kufungiwa kwa Shirika la SIKIKA wilayani Kondoa limechukua sura mpya baada ya shirika hilo kumwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia.
Barua hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Irenei Kiria, ilipelekwa ofisini kwa Ghasia Jumatano zikiwa zimepita wiki mbili tangu shirika hilo kufungiwa wilayani...
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Pluijm: Waleteni Simba