Pluijm: Waleteni Simba
Baada ya kuifunga Azam katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Kocha wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa sasa yuko tayari kucheza na watani wao wa jadi Simba muda wowote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Maximo: Waleteni Simba
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Mercio Maximo, amesema hana hofu na mechi dhidi ya Simba itakayopigwa Oktoba 18, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, akisema ana imani kubwa...
11 years ago
GPL
Kaseja: Waleteni hao Simba SC
Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kipigo cha Simba chamrejesha darasani Pluijm
Kipigo cha bao 1-0 ilichokipata Yanga kutoka kwa watani wao wa jadi Simba, kimemfungua macho kocha Hans Pluijm na benchi lake la ufundi ambao wameamua kulivalia njuga tatizo la kutomiliki mpira kwa wachezaji.
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Pluijm ataka bao la mapema kuiua Simba
Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Pluijm ametaja mbinu mkakati atakazozitumia Jumapili kuwasambaratisha watani wao wa jadi, Simba.
11 years ago
GPL
Simba wakaa mezani na Pluijm kwa saa sita
 Na Hans Mloli
USAJILI wa kuwindana unaendelea kushika hatamu lakini upande wa pili wa shilingi juzi Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm na baadhi ya viongozi wa Simba, waliweka tofauti hizo za soka pembeni na kufanya mazungumzo kwa takribani saa sita na ushee. Viongozi hao walikutana na kocha huyo na kukaa meza moja na kuzungumza huku wakipata vinywaji walipohudhuria kwenye tukio zima la utoaji wa tuzo za...
10 years ago
VijimamboKUJIANDA NA MPAMBANO WA JUMAPILI KATI YA YANGA NA SIMBA PLUIJM ATIRIRIKA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania