Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo: Waleteni Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Mercio Maximo, amesema hana hofu na mechi dhidi ya Simba itakayopigwa Oktoba 18, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, akisema ana imani kubwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pluijm: Waleteni Simba

Baada ya kuifunga Azam katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Kocha wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa sasa yuko tayari kucheza na watani wao wa jadi Simba muda wowote.

 

11 years ago

GPL

Kaseja: Waleteni hao Simba SC

Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maximo aisoma Simba dakika 50

KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, juzi alitumia dakika 50 kushuhudia mechi ya Simba dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya kirafiki ya kimataifa liyochezwa Uwanja wa Taifa,...

 

11 years ago

GPL

Aveva kumtumia Maximo Simba

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akipokelewa na mashabiki wa timu ya Simba SC.
Na Wilbert Molandi
RAIS mpya wa Simba, Evans Aveva, amesema moja ya mikakati atakayoanzanayo ni kutengeneza mfumo mzuri wa kuunda timu imara ya vijana ya U20.
Mkakati huo wa kuandaa timu bora ya vijana kwa mara ya kwanza aliutangaza Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, wakati anatambulishwa na viongozi wa timu hiyo. Akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

Maximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo. Goodluck Ngai na Nassor Gallu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo, amewaandaa viungo washambuliaji Mrisho Ngassa na Simon Msuva kuwa ndiyo chachu kubwa ya ushindi wake dhidi ya watani wao wa jadi Simba, katika mchezo wao wa Oktoba 18, kwenye Uwanja wa Taifa. Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara, huku zikiwa na kumbukumbu ya sare ya bao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kocha Maximo aibeza Simba Mtani Jembe

KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Marcio Maximo, amewabeza mahasimu wao wa soka nchini Simba kwa kusema pambano la Nani Mtani Jembe alimuumizi kichwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAMFUKUZISHA MAXIMO JANGWANI MARA BAADA YA KUWAPA KIPIGO CHA MAGOLI 2 KWA 0 YANGA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,Baada ya kuchapwa mabao 2-0 na mahasimu wao wa soka Simba SC katika mchezo wa ‘ Hisani Nani Mtani Jembe’ siku ya Jumamosi iliyopita, klabu ya Yanga SC imeamua kufikia maamuzi magumu ya kumfuta kazi kocha Marcio Maximo na ni wazi Mholanzi, Hans Van De Pluijm atachukua nafasi hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Yanga kumfukuza kazi kocha wao mara baada ya kufungwa na Simba. Ikumbukwe mwaka uliopita, Mholanzi, Ernie Brandts aliondoshwa baada ya kufungwa mabao 3-1...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani