Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm ataka bao la mapema kuiua Simba

Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Pluijm ametaja mbinu mkakati atakazozitumia Jumapili kuwasambaratisha watani wao wa jadi, Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Hall ataka kuiua Yanga mapema

Kocha wa Azam FC, Stewart Hall amewataka wachezaji wake kutafuta ushindi wa mapema katika mechi yao ijayo ya Ngao ya Hisani dhidi ya Yanga itakayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Maximo ampiga bao Pluijm Yanga

Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Khadija Mngwai
KOCHA Hans van Der Pluijm aliondoka Yanga na kuacha ripoti ya nini kifanyike ili kuimarisha kikosi cha timu hiyo, lakini uongozi wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauwezi kufanya usajili bila ruhusa ya kocha ajaye klabuni hapo, Marcio Maximo.…

 

10 years ago

Mtanzania

Pluijm: nimeweka historia kupiga bao 8

PluijmNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, ameeleza kuwa ameandika historia ya kwanza tangu aanze kufundisha soka, kwa timu yake kufunga mabao nane katika mchezo mmoja.
Yanga juzi iliitungua Coastal Union mabao 8-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuchukua ubingwa wa ligi, ikiwa na jumla ya pointi 43.
Wanajangwani hao wameandika historia ya pekee kwenye msimu huu...

 

10 years ago

Vijimambo

BAO LA MAPEMA LA NGASSA LAIVUSHA YANGA ROUND YA PILI LICHA LA KULALA UGENINI 2-1

DSC_0863-794466Dk 29, Ngassa analiifungia Yanga bao safi kwa kichwa cha kuchupa baada ya basi nzuri ya Amissi Tambwe aliyeuwahi mpira alioutema kipa wa BDF. Kipindi cha pili BDF XI walirudi na moto na kufanikiwa kuwabana yanga na kurudisha bao na kuongeza la pili lakini na matokeoa kusomeka mwisho wa mchezo 2-1 yanga wanafaida na bao la ugenini na pia ushondo wa 2 bila majibu walioupata Tanzania katika mchezo wao wa Tanzania uliwaakikishia kuwa na kazi nyepese kwenye mchezo wa marudiano. Kwaiyo kwa matokeo...

 

9 years ago

Mtanzania

Simba yajipanga kuiua Mbeya City

simba-sports-club-212-768x403NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imeanza kuipigia hesabu Mbeya City wanayotarajia kucheza nayo Oktoba 17 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, wekundu hao wamedai kuwa ili kuzoa pointi zote tatu wamepanga kufika mapema mkoani humo.

Wachezaji wa Simba ambao hawamo kwenye timu za Taifa, wanatarajia kuanza tena mazoezi leo baada ya mapumziko ya siku mbili, tayari kabisa kujiandaa na mchezo huo muhimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Msimu uliopita Simba iliambulia patupu mbele ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yaandaa mikakati ya kuiua Simba

Klabu ya Azam imeanza mikakati ya kuifunga Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu mwezi ujao.

 

10 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa siri kuiua Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana 'Jaja'. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameonekana kupania timu yake iwafunge wapinzani wake Simba mabao mengi, baada ya kuonekana akiiongezea mbinu safu yake ya ushambuliaji kwenye mazoezi yake. Hiyo ni baada ya kuiona safu ya ulinzi ya watani wao wa jadi, Simba haipo imara kwenye mechi zake tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizozicheza.Safu… ...

 

9 years ago

Habarileo

Boban ajifua Mbeya City kuiua Simba kesho

KIUNGO mahiri wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, Haruna Moshi `Boban’ amejiunga rasmi na klabu ya Mbeya City na jana alianza mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Bara dhidi ya Simba, kesho.

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani