Maximo ampiga bao Pluijm Yanga
Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Khadija Mngwai KOCHA Hans van Der Pluijm aliondoka Yanga na kuacha ripoti ya nini kifanyike ili kuimarisha kikosi cha timu hiyo, lakini uongozi wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauwezi kufanya usajili bila ruhusa ya kocha ajaye klabuni hapo, Marcio Maximo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen17 Dec
SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Musoti ampiga bao Butoyi, Okwi nje
11 years ago
GPLPluijm kufanya kazi na Maximo
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Pluijm: nimeweka historia kupiga bao 8
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, ameeleza kuwa ameandika historia ya kwanza tangu aanze kufundisha soka, kwa timu yake kufunga mabao nane katika mchezo mmoja.
Yanga juzi iliitungua Coastal Union mabao 8-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuchukua ubingwa wa ligi, ikiwa na jumla ya pointi 43.
Wanajangwani hao wameandika historia ya pekee kwenye msimu huu...
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Pluijm ataka bao la mapema kuiua Simba
10 years ago
MichuziMECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0
11 years ago
MichuziMTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0
11 years ago
MichuziMTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places