Pluijm: nimeweka historia kupiga bao 8
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, ameeleza kuwa ameandika historia ya kwanza tangu aanze kufundisha soka, kwa timu yake kufunga mabao nane katika mchezo mmoja.
Yanga juzi iliitungua Coastal Union mabao 8-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuchukua ubingwa wa ligi, ikiwa na jumla ya pointi 43.
Wanajangwani hao wameandika historia ya pekee kwenye msimu huu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO5-kVx0ekdAKWM1Qth7qfxYdNnmMwn1oViPJzCX0eNstwWB0ZK*GBru9w9elGtN7q-CZ8-MLYjURPRVhLNV0Hsw/MAXMO.gif?width=650)
Maximo ampiga bao Pluijm Yanga
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Pluijm ataka bao la mapema kuiua Simba
9 years ago
Mwananchi22 Aug
HISTORIA: Ikumbuke stori ya bao la ‘mkono wa Mungu’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jF*i4ZXkfzV9hT7CukkLolbuleM8Nib2gC7Gm4LlIh9O0MSW5sUgnBUaqCgHB54XytoYc8vD1I*hQHYmCRKh9UC/SIMBA.jpg?width=650)
LOGARUSIC ASUBIRI KUPIGA STORI NA PLUIJM TAIFA
10 years ago
Mtanzania02 May
Pluijm atamba Yanga kuweka historia kwa Etoile du Sahel
NA JUMA KASESA, TUNISIA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Plujim, ameapa kuiandikia historia timu hiyo kwa kuitoa timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Yanga iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa awali uliopigwa jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita, leo inavaana na timu hiyo katika mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza utakaofanyika katika Uwanja wa Olimpique de Sousse utakaoanza saa 3 usiku kwa saa za Afrika...