Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOGARUSIC ASUBIRI KUPIGA STORI NA PLUIJM TAIFA

Na Hans Mloli
BAADA ya mchezo wa juzi kati ya Yanga na Al Ahly ya Misri kuisha, Kocha Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, hakutaka kuondoka mpaka uwanjani ili atimize azma yake ya kuonana na Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Puijm. Logarusic alikuwa jukwaani uwanjani hapo sambamba na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, ambapo waliushuhudia mchezo huo kwa dakika 90. Mara baada ya kuisha kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pluijm: nimeweka historia kupiga bao 8

PluijmNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, ameeleza kuwa ameandika historia ya kwanza tangu aanze kufundisha soka, kwa timu yake kufunga mabao nane katika mchezo mmoja.
Yanga juzi iliitungua Coastal Union mabao 8-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuchukua ubingwa wa ligi, ikiwa na jumla ya pointi 43.
Wanajangwani hao wameandika historia ya pekee kwenye msimu huu...

 

11 years ago

GPL

Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...

 

10 years ago

Mtanzania

Kocha Pluijm: BDF hawatoki Taifa leo

PluijmNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amewaondoa shaka mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya BDF XI ya Botswana utakaofanyika leo na kueleza kuwa timu yake itawafunga Wabotswana hao.

Yanga itachuana na BDF kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni leo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana mbele ya waandishi wa habari kwenye mkutano wa makocha wa pande...

 

10 years ago

GPL

Mke wa Pluijm atua Dar, azuiwa kwenda Taifa

Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Mwandishi Wetu Dar es Salaam
MKE wa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ni raia wa Ghana, amewasili jijini Dar es Salaam kuungana na mumewe. Mwanamama huyo ametua nchini juzi usiku na kuungana na mumewe ambaye sasa ana jukumu la kuhakikisha kikosi chake kinashinda mechi ya Jumapili dhidi ya watani wao, Simba.
Pluijm amethibitisha ujio wa mkewe nchini ambaye amezaa naye watoto wawili, lakini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorius asubiri hukumu

Jaji Thokozile Masipa hii leo atatoa hukumu dhidi ya kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha Oscar Pistorius huko Afrika Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani