Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoKolNreH1RLmST5btDchIn3qkveKpbkvyxdelXULavVoNhuhRkp8IPhhT34Th1rsQHqUbXa7CUzO4N8N2YSAAD/logasian.gif?width=650)
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpFWqgx6ogGYLtswgl*DWrRWjcCPX0RD9lNfFNcWA5qndKH3Rp*iUgfEUqkoKF*j8beSsXC4HutkTmMDMJiG4zJR/STRAIKA.gif?width=650)
Straika aliyeiua Yanga avunja mkataba Simba
9 years ago
StarTV14 Aug
Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Yanga yasema imetosha, yailaza Simba Taifa
10 years ago
GPLSIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
10 years ago
GPLSIMBA, YANGA WATOKA SARE TAIFA, DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x9KBpl7z4r*IAaSOBAVEXkhIuNbb6nZwn9bS86lbfJ7z4SdEyweQrGEdAfgLnfG1a2YbBFo-kgQmqa5CxjgcJT-xh4j2lSY7/bloggerimage1609090308.jpg)
SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA YANGA TAIFA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l6WiuXLsJq0/Xl9cNxjFxzI/AAAAAAALg14/nbfaHT9Igq8AnmLpKw0ov_C2kC9dWESgwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B09.48.29.jpeg)
Rais CAF kuwashuhudia Simba na Yanga Taifa
![](https://1.bp.blogspot.com/-l6WiuXLsJq0/Xl9cNxjFxzI/AAAAAAALg14/nbfaHT9Igq8AnmLpKw0ov_C2kC9dWESgwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B09.48.29.jpeg)
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmed Ahmed anatarajia kuwasili nchini Siku ya Jumamosi Machi 7 kwa mwaliko wa Rais wa TFF.
Ahmad anakuja nchini kwa kwa mara ya kwanza na ataishuhudia mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa Jumapili Machi 8, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hii ni mara ya kwanza kwa Rais wa CAF kupata nafasi ya kuja nchini na kushuhudia mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayowahusisha watani wa jadi Yanga na...