Musoti ampiga bao Butoyi, Okwi nje
Rais wa Simba, Evans Aveva amemaliza utata wa usajili wa wachezaji wa kigeni uliokuwa umeigubika klabu hiyo kwa kusema Mkenya Donald Mosoti ndiye anabaki na Mrundi Butoyi Hussein wamempiga chini huku Yanga nao wakimpiga chini Emmanuel Okwi raia wa Uganda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Maximo ampiga bao Pluijm Yanga
Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Khadija Mngwai
KOCHA Hans van Der Pluijm aliondoka Yanga na kuacha ripoti ya nini kifanyike ili kuimarisha kikosi cha timu hiyo, lakini uongozi wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauwezi kufanya usajili bila ruhusa ya kocha ajaye klabuni hapo, Marcio Maximo.…
11 years ago
GPL
UMOJA WA MATAIFA YAINYUKA WIZARA YA MAMBO YA NJE BAO 3-0 KWENYE BONANZA LA UN FAMILY DAY
Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na watoto wa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipojumuika pamoja mwishoni mwa juma kushiriki michezo mbalimbali kwenye UN Family Day kusheherekea maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.…
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Mosoti, Butoyi wamtesa Phiri
Kocha wa Simba, Patrick Phiri amepatwa na kigugumizi cha uamuzi wa nani abaki kati ya Mkenya Donald Mosoti na Mrundi Butoyi Hussein kujaza nafasi ya beki wa kati.
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Butoyi awagawa viongozi Simba
Ujio wa beki mpya wa Simba, Mrundi Butoyi Hussein umewagawa viongozi wa Simba katika makundi mawili yanayopingana juu ya usajili wake, ingawa kocha Patrick Phiri amesema aachiwe kazi hiyo aifanye mwenyewe.
11 years ago
GPL
Musoti aomba kuvunja mkataba Simba
Donald Musoti.
Nicodemus Jonas na Martha Mboma
BEKI wa kati wa Simba, Mkenya Donald Musoti amesema yupo tayari kuvunja mkataba na Simba kutokana na kupata ulaji wa maana nchini Dubai katika Falme za Kiarabu. Musoti, beki wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya, juzi aliamua kuvunja ukimya na kufunguka sababu zilizomfanya kuchelewa kuripoti kambini kwa siku tano, ambapo alisema alikuwa Dubai katika timu hiyo ambayo hajaikariri jina....
11 years ago
GPL
Musoti azima simu,Simba SC wahaha
Beki wa timu ya Simba, Mkenya, Donald Musoti Na Martha Mboma
KATIKA hali ya kushangaza, uongozi wa Simba mpaka sasa bado haujafahamu na hauna taarifa yoyote kuhusiana na beki wa timu hiyo, Mkenya, Donald Musoti atarejea lini nchini na ni kitu gani ambacho kimemkwamisha mpaka sasa kushindwa kuwasili, wakiwa hawana mawasiliano naye huku beki Mganda, Joseph Owino akitarajia kutua nchini leo Jumatatu. Musoti amezima simu na...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa viongozi wao wamefanya jambo la busara ambalo hawatalijutia kwa uamuzi wao wa kumsajili Donald Musoti.
11 years ago
GPL
IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC
KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Miyeyusho ampiga Mkenya KO
>Bondia, Francis ‘Chichi mawe’ Miyeyusho juzi usiku aliibuka kinara baada ya kumgaragaza Joshua Amukulu wa Kenya kwa Knock Out (KO) raundi ya pili ya pambano la raundi nane la uzani wa light.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania