Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Musoti aomba kuvunja mkataba Simba

Donald Musoti.
Nicodemus Jonas na Martha Mboma
BEKI wa kati wa Simba, Mkenya Donald Musoti amesema yupo tayari kuvunja mkataba na Simba kutokana na kupata ulaji wa maana nchini Dubai katika Falme za Kiarabu. Musoti, beki wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya, juzi aliamua kuvunja ukimya na kufunguka sababu zilizomfanya kuchelewa kuripoti kambini kwa siku tano, ambapo alisema alikuwa Dubai katika timu hiyo ambayo hajaikariri jina....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Musoti azima simu,Simba SC wahaha

Beki wa timu ya Simba, Mkenya, Donald Musoti Na Martha Mboma
KATIKA hali ya kushangaza, uongozi wa Simba mpaka sasa bado haujafahamu na hauna taarifa yoyote kuhusiana na beki wa timu hiyo, Mkenya, Donald Musoti atarejea lini nchini na ni kitu gani ambacho kimemkwamisha mpaka sasa  kushindwa kuwasili, wakiwa hawana mawasiliano naye huku beki Mganda, Joseph Owino akitarajia kutua nchini leo Jumatatu. Musoti amezima simu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe

Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa viongozi wao wamefanya jambo la busara ambalo hawatalijutia kwa uamuzi wao wa kumsajili Donald Musoti.

 

11 years ago

GPL

IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC

KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa...

 

11 years ago

GPL

TFF, POULSEN WAKUBALIANA KUVUNJA MKATABA

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari. Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kuvunja mkataba wa kazi

Mkataba wa ajira husainiwa kwa amani, nderemo, vifijo na shukrani nyingi na nyuso za pande zote mbili yaani mwajiri na mfanyakazi zikionyesha furaha ya kufungua ukurasa mpya wa maisha kwa kutenda kazi pamoja.

 

10 years ago

Vijimambo

Juma Kaseja aamua kuvunja mkataba Yanga

Kipa Juma Kaseja ametoa masharti mawili mazito Yanga na kama hayatatekelezwa yuko tayari mkataba wake na klabu hiyo uvunjwe rasmi, imeelezwa.

Hata hivyo, moja ya sharti ambalo ni vigumu kutekelezeka ni pamoja na kutaka kupewa nafasi za kudaka katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), ambayo hajawahi kusimama langoni msimu huu tangu pazia lilipofunguliwa Septemba 20.

Kupitia meneja wake, Abdulfatah Saleh, Kaseja ameipa masharti Klabu ya Yanga kama inataka kubaki naye immalizie fedha za...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATHIBITISHA KUVUNJA MKATABA KATI YA JESHI LA ZIMAMOTO NA KAMPUNI YA ROM SOLUTION


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema imevunja mkataba baina ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solution Co. Ltd ambao ulikua wa ununuzi wa vifaa vya jeshi hilo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni moja.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe George Simbachawene leo jijini Dodoma ambapo amesema makubaliano hayo yalishavunjwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa kuvunja viti Taifa walia kutoswa Simba

WAKATI kesi ya kufanya fujo na kuvunja viti vya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi kati ya Simba na Kagera Sugar ikitarajiwa kuanza kusikilizwa Januari 27 katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr aomba Simba apewe kipa mpya

Klabu ya Simba inahaha kusaka kipa mpya mzoefu atayesaidiana na Ivo Mapunda baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kubaini upungufu mkubwa katika nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani