Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALAMU ZA KRISMAS KUTOKA J&P ENT


J&P Entertainment inawatakia wadau wote kheri ya Krismasi iliyojaa furaha na upendo. J&P Entertainemnt inatoa rai kwa wadau wote kuendeleza umoja wetu na kiutumia Siku hii kusambaza upendo kama ambavyo Bwana Yesu anavyotuambia kwenye Maandiko.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Viongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq watoa salamu za Krismas

IMG-20151223-WA0001

Sheikh Hemed Jalala akiongea na waandhishi wa habari (hawapo pichani).

IMG-20151223-WA0005

Sheikh Hemed Jalala akisisitiza jambo.

IMG-20151223-WA0004

IMG-20151223-WA0008Waandishi wa habari wakichukua matukio.

Viongozi wa Chuo cha Kiislam cha Imam Swadiq, watoa salamu za pongezi kwa Wakristo katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas.

Sheikh Hemed Jalala alisema: “Wakristo ni ndugu zetu kwa msingi mkuu wa ubinadamu, hivyo umoja wa kijamii na kitaifa unaunganishwa na ubinadamu na si itikadi.”

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha)

 

10 years ago

Michuzi

salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia

Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Bi Christina Innocent  Marolen, almaarufu kama "Mama Bishanga",  na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, Adern Court Alzheimer Home Care huko Ohio, Marekani, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na...

 

5 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

Salamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog

Ndugu zangu,
Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wajumbe wangu wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii.Nimefanya hivyo tangu mwaka 2006 ilipoanzishwa Mjengwablog. Na mwaka huu naendeleza utamaduni huo.Ndugu zangu,
Naandika salamu hizi nikiwa hapa Iringa, na nikiwa na mambo mawili ya kuwaeleza; Mosi, napenda kuwahakikishia kuwa Mjengwablog/KwanzaJamii itaingia mwaka mpya wa 2016 na kasi zaidi ya mwaka jana. Tutazidisha...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA HOUSTON, TX



 Abou wa Houston. TX  mdau wa Vijimambo akiwa na mtoto wake Abou Jr  baada ya sala ya Eid. Abou anatoa salamu za Eid kwa waislam wote na Watanzania popote walipo.
 Abou akipata ukodak na Jr ndani ya msikiti huko Houston. TXUkodak pamoja na maustadh wenzake baada ya sala ya Eid

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

salamu za iddi kutoka kwa wanalibeneke wa Bukoba wadau

#‎BUKOBAWADAU‬ BLOG inakutakia sikukuu njema ya Eid-el-Fitr popote pale ulipo, na inawapongeza waumini wote wa dini ya Kiislamu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani