Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia atamba kushinda Umakamu Mwenyekiti

 Samia Suluhu HassanWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Samia Suluhu Hassan ambaye amepitishwa na CCM kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba , amejigamba kuwa nafasi hiyo akiipata ataiweza kuliongoza bunge hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Samia apigiwa chapuo Umakamu wa Rais

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba jana walisifu uongozi uliooneshwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu na kupendekeza ikiwezekana katika hiyo dhana ya uwakilishi sawa maarufu 50/50, ateuliwe kuwa Mgombea Mwenza wa mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’

SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.

 

11 years ago

Michuzi

SERA ZA HARRIET SHANGARAI MGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Na Hariet Shangaei Washington DC  Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV. Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni. (Photo Via Swahilivillablog)
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia,...

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).

 

11 years ago

GPL

SAMIA HASSAN NDIYE MAKAMU MWENYEKITI BUNGE LA KATIBA

Samia Suluhu Hassan. Samia Suluhu Hassan ndiye Makamu Mwenyekiti wa Kudumu Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata kura 390 sawa na 74% na kumshinda mpinzani wake Amina Abdallah Amour aliyepata jumla ya kura 126 sawa na 24%. Kwa matokeo hayo, Samia Hassan ataungana na Samuel Sitta aliyechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa bunge hilo katika mchakato mzima wa kupata katiba… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe.Samia Suluhu Hassan ndiye makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba

Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu Mwenyekiti wake mjini Dodoma.   Hii inakuja baada ya jana kumchagua Mhe.Samweli Sitta kuwa Mwenyekiti. Mhe Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour. Kura 7 ziliharibika - kama jana.   Katibu wa Bunge hilo Maalum ambaye atajulikana wakati wowote kuanzia sasa ataapishwa na Rais Jakaya Kikwete kesho asubuhi Ikulu ndogo Dodoma.   Katibu wa Bunge ndiye...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya kupokea Fomu hizo Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Mjumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani