SAMPULI YA MAANDISHI YA MSHTAKIWA JOYCE NA DIANA YANAFANANA-ASKARI POLISI
![](https://1.bp.blogspot.com/-oH6fU5UMaBM/XoswU8iZfcI/AAAAAAALmLQ/wpEdWB2d-ukIEMEgsvhu3zAejDTTgfGkgCLcBGAsYHQ/s72-c/kisutu.jpg)
Na Karama Kenyunko globu ya jamii. ASKARI Polisi wa Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi kutoka Polisi Makao Makuu, Inspekta Fatuma Mbwana ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, maandishi ya maelezo ya Onyo ya mlalamikaji Diana Naivana , yanafanana na sampuli ya maandishi ya mshtakiwa Joyce Kitta ambaye ni askari.
Inspekta Fatuma ambaye ni shahidi wa kwanza katika kesi ya kushawishi rushwa ya sh milioni 200 inayowakabili askari upelelezi wanne wa kituo cha polisi Kawe, ameeleza hayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s72-c/IMG-20140802-WA0008.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s1600/IMG-20140802-WA0008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kD77rECHH3Y/U9_aIYYQvLI/AAAAAAAF9G8/E7ptUtKJJIw/s1600/IMG-20140802-WA0009.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s72-c/kova18_232_300.jpg)
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s1600/kova18_232_300.jpg)
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Askari polisi Kawe lawamani
BAADHI ya askari polisi wa Kituo cha Kawe, Kinondo, Dar es Salaam wameingia kwenye kashfa ya kumbambikia kesi ya jinai Mkurugenzi Mtendaji wa Kahangala Youth Foundation, Pascal Kahangala. Jeshi hilo...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-QtSfZrhXtQQ/XrmTKZIvHNI/AAAAAAAAndQ/kxYXsAarZK8p_GLwMb-L1pIXSEGdVWpSgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ASKARI POLISI APATA AJALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-QtSfZrhXtQQ/XrmTKZIvHNI/AAAAAAAAndQ/kxYXsAarZK8p_GLwMb-L1pIXSEGdVWpSgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-mwLPb5fwKZw/XrmTKrskKmI/AAAAAAAAndU/bvuzFBOMC4MN3usJIdvKbJud-_xyfb47ACLcBGAsYHQ/s400/2%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Habarileo04 Mar
5 kortini kwa kumdhalilisha askari polisi
WAFANYABIASHARA watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.