SANAA IMEZAA MAJINA YAO!

Video Queen, Agness Gerald. KATIKA ulimwengu wa sanaa ikiwemo ya muziki na filamu, mashabiki wamezoea kuwaita mastaa f’lani kwa majina wanayotumia katika kazi zao ambapo majina hayo yamekuwa maarufu na yale halisi waliyopewa na wazazi wao yakisahaulika kabisa. Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula. Katika makala haya tutakuletea orodha ya mastaa ambao majina waliyotumia kwenye nyimbo au filamu yamekuwa ni maarufu kama ndiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
BALOZI SEFUE AWAAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI


Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Watoto waliookolewa wasahau majina yao
10 years ago
GPL
ANGALIA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA NA MAJIMBO YAO
10 years ago
Bongo520 Oct
Mabeste na mpenzi wake Lisa wajichora tattoo za majina yao
5 years ago
CCM BlogWANAOSHINDWA KUKUMBUKA MAJINA YAO HUCHELEWESHA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA-JAJI KAIJAGE
Na Richard Mwaikenda
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), amesema kitendo cha baadhi wananchi kushindwa kukumbuka majina yao, kinasababisha ucheleweshwaji wa zoezi la Uboreshaji...
5 years ago
Michuzi
MSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI
Akizungumza na jijini Dodoma leo, Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.
"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...
5 years ago
Michuzi
SAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WANA CCM WALIOANZA KAMPENI KABLA YA WAKATI,ASEMA WANAYO MAJINA YAO

9 years ago
Dewji Blog03 Dec
Mhe. Balozi Sefue aendelea kuwasisitiza watumishi wa umma kuvaa beji zinazowatambulisha majina yao wanapokuwa katika maeneo ya kazi
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank. (Picha na Maelezo).
Na Anna Nkinda – Maelezo
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue ameendelea...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa