SANAMU LA DENNIS BERGKAMP LILIVYOZINDULIWA EMIRATES LEO
Dennis Bergkamp akipozi katika sanamu lake. SANAMU la mwanasoka aliyeichezea klabu ya Arsenal ya jijini London miaka 11, Dennis Bergkamp limezinduliwa kwenye Uwanja wa Emirates. Bergkamp (kulia) akiliangalia sanamu lake wakati wa uzinduzi. Zoezi hilo lililoshuhudiwa na mamia ya mashabiki wa klabu hiyo limefanyika leo kabla ya mechi ya Arsenal na Sunderland. Bergkamp ambaye ni raia wa Uholanzi, alijiunga na Arsenal mwaka 1995...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCZambia mourns Dennis Lota
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Dennis akomba milioni 50/- za TMT
UKILALA masikini unaamka tajiri, ndivyo ilivyokuwa kwa mwigizaji chipukizi, Denis Lwasai, aliyewahi kufanyakazi na marehemu Steven Kanumba, baada ya usiku wa kuamkia jana kuibuka na kitita cha shilingi milioni 50 alizopata baada ya kuibuka mshindi katika shindano la Tanzania Movie Talent (TMT).
Katika shindano hilo, washiriki 10 waliingia fainali na kisha kuchezeshwa wawili wawili katika igizo lililokuwa likionyesha unyenyekevu wakati wa kuomba kazi. Hata hivyo, washiriki wote 10 wataigiza...
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Alonso atashiriki Fomula1: Ron Dennis
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Sanamu ya Mandela yazinduliwa A. Kusini
11 years ago
BBCSwahili18 May
Kombe la FA latua uwanjani Emirates
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Wapiganaji wa IS wavunja sanamu Iraq
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Sanamu ya Gandhi yafunuliwa London
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Emirates yabadilisha safari za ndege
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Sanamu ya Rhodes yang'olewa