Sanchez, Ozil kuongezewa mikataba Arsenal
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa klabu ya Arsenal, Alexis Sanchez na Mesut Ozil wanatarajiwa kuongezewa mikataba mipya ambayo itawafanya wachezaji hao kukaa kwa muda mrefu katika klabu hiyo.
Klabu hiyo tayari imeanza mazungumzo na Sanchez, ambapo mchezaji huyo ameonekana kukubali kuongeza mkataba wa miaka mitano kwa kitita cha pauni 155,000 kwa wiki.
Katika mkataba wake wa sasa, Sanchez anachukua kitita cha pauni 130,000 kwa wiki, lakini mkataba huo utamfanya aongeze kitita cha pauni 25,000 na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo511 Jul
Picha: Hatimaye Alexis Sanchez Amejiunga na Arsenal
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Sanchez apiga mbili Arsenal ikiichakaza Stoke
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TEZjofyYGNAibvK97Bav3fswZQ2sd1ysC2Y9yfgibh4sVTMheZvJQyYHTAXFOob53GvJ6WjZXq47e4OQKua0hgb/sanchez2.jpg)
SANCHEZ ATUA ARSENAL, KULAMBA PAUNI 140,000 KWA WIKI
5 years ago
Football.London21 Feb
Arsenal injury news: Expected return dates for Torreira, Ozil, Guendouzi and Tierney
5 years ago
Mirror Online17 Feb
Graeme Souness questions Mesut Ozil's attitude despite Arsenal star's goal vs Newcastle
5 years ago
Mirror Online11 Apr
Paul Merson backs Alexis Sanchez to rediscover Barcelona and Arsenal form at Man Utd
5 years ago
Football.London22 Feb
Arsenal injury news and expected return dates ahead of Everton clash: Sokratis, Martinelli, Ozil
5 years ago
The Sun30 Mar
3.25pm Arsenal news LIVE: Longstaff eyed for FREE transfer; Aubameyang, Ozil, Mkhitraryan updates, Man City
5 years ago
The Sun09 Apr
8am Arsenal news LIVE: Aubameyang transfer LATEST, Arteta chases Spanish trio, Ozil UPDATE, Premier League