Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saratani ya damu, jicho yawatesa watoto nchini

Saratani ya mtoto wa jicho na ile ya damu, imeelezwa kuwatesa zaidi watoto wadogo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Saratani yawatesa zaidi Watanzania

>Februari 4, kila mwaka ni Siku ya Saratani Duniani.Siku hii huadhimishwa kila nchi  kutokana na ukubwa wa tatizo  hilo. Taarifa zinaonyesha Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara, zenye ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu

KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto, wanaoishi na VVU waongoza mahitaji ya damu

ASILIMIA 90 ya damu yote inayohitajika kwa watoto, huwekewa watoto wanaoumwa malaria wakati asilimia 52 ya damu inahohitajika kwa watu wazima hutumiwa na wenye ugonjwa wa Ukimwi.

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO

Saratani au kansa zipo za aina nyingi lakini leo tutachambua ya  watoto ambayo kitaalamu inaitwa  Non Hodgkin’s Lymhona na  huwapata watoto wadogo wenye umri kati ya miaka mitatu na tisa. Saratani hii hujitokeza kutoka kwenye mfumo wa damu inayohusika na kinga ya mwili yaani Lymphatic system kwa kitaalamu na mara nyingi hushambulia tezi zinazoshughulika na kinga ya mwili wa mtoto na huweza kusababisha kifo. MAENEO...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-2

Mtoto anaweza kupatwa maradhi haya kwa kurithi kutoka katika familia aliyozaliwa kama vile wazazi, mjomba, babu au bibi, mama mdogo na kadhalika. Mtoto pia anaweza kupatwa na saratani hii kutokana na kuugua kila wakati ugonjwa wa malaria ambapo huchangia kupungua kwa kinga mwilini.Sababu nyingine ni mashambulio ya virusi vinavyoitwa kwa kitaalamu ‘Lymphic System’. Virusi hivyo hushambulia mfumo wa damu na kusababisha...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3

Kitaalamu dawa za kutibu saratani hii imegawanyika katika makundi mawili ipo iitwayo Vincristin, ya pili ni Methotrexate na dawa nyingine inayofahamika kama Cytarabin. Dawa nyingine ambayo ni muhimu sana huitwa Cyclophosphamide. Daktari akimuona mgonjwa anaweza kumpa dawa kwa kupitia njia ya mishipa ya damu pia ipo dawa ambayo mgonjwa hupewa kupitia uti wa mgongo. Kundi la pili la dawa zinazotumika kutibu saratani hii lina dawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 400 hutibiwa saratani kila mwaka

SERIKALI imesema watoto wapatao 400 nchini hutibiwa saratani kila mwaka. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashidi alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati alipokuwa akijibu swali...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa

Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.

Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.

Umasikini na  uelewa mdogo katika ugonjwa  Saratani  ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani