Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAUTI SOL, RADIO &WEASEL, DJ TIRA KUPAMBA ZIARA YA KUHAMASISHA UTOAJI WA TUZO ZA MUZIKI ZA MTV JIJINI DAR KESHO

Ikiwa imebaki siku moja kufika ziara ya uhamasishaji wa tuzo za MTV wasanii kutoka sehemu mbalimbali nje ya Tanzania wanatarajiwa wasili jijini Dar es Salaam siku ya kesho kwa ajili ya maandalizi ya sherehe hiyo itakayo fanyika Club Bilicanas.
Wasanii watakao wasili siku ya kesho ni pamoja na Diamond aliyekua Uingereza, Proffesor (Afrika Kusini), Sauti Sol na Amani kutoka Kenya na Radio na weasel wa Uganda ambao wanatarajiwa kupanda jukwaani siku ya Ijumaa ya tarehe 16 Mei ndani ya ukumbi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol, Kidum, Eddy Kenzo na Radio & Weasel watajwa kuwania tuzo za BEFFTA 2015 za UK

Sauti Sol, Kidum, Eddy Kenzo na Radio & Weasel ni miongoni mwa wasanii wa Afrika Mashariki waliotajwa kuwania tuzo za ‘Black Entertainment, Film, Fashion, Television and Arts Awards’ (BEFFTA 2015) za Uingereza. Wasanii hao wanawania kipengele cha ‘Best International African Act’ wakiwa na wasanii wengine wa Afrika ambao ni Davido, Wizkid, Sarkordie, P Square, Timaya […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Radio & Weasel x Wizkid – Nipe Kinfunguo Yako

Wasanii kutoka Uganda Radio & Weasel wamekuja na wimbo huu unaitwa “Nipe Kinfunguo Yako” wapo na msanii Wizkid kutoka Nigeria hii ni ngoma ya pili wanafanya pamoja baada ya wimbo wa kwanza wa “Don’t Cry” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga […]

 

10 years ago

Bongo5

Although Sauti Sol loses the BET Award, there is still a chance to win MTV MAMA

Sauti Sol were not only representing their country Kenya on BET Awards, but East Africa as well. After losing the “Best International Act Africa” BET Award to Ghana’s dancehall hit maker Stonebwoy, the four member Boy-band still have another chance of winning 2015 MTV MAMA next month. “Join us in congratulating Ghana!! @stonebwoyb winner BET […]

 

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol wafurahia kumpa kijiti Diamond kwenye MTV EMA 2015

Kwa miaka miwili mfululizo, kipengele cha Best African Act cha tuzo za MTV EMA kimeendelea kubaki Afrika Mashariki. Baada ya mwaka jana Sauti Sol kushinda, wamempa kijiti Diamond Platnumz ambaye sasa anashindana na muigizaji wa India, Priyanka Chopra kwenye kipengele kinachohusisha Afrika na India. Sauti Sol wameonesha kufurahia kumpa Diamond kijiti cha tuzo hiyo na […]

 

10 years ago

Bongo5

Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’

Kundi la Sauti Sol la Kenya limewabwaga Diamond, Davido na wasanii wengine wawili wa Afrika katika kipengele cha ‘Best African Act’ cha tuzo za MTV EMA. Hata hivyo huo sio mwisho kwakuwa Sauti Sol sasa watahitaji kura za bara zima la Afrika kuwania kipengele cha ‘Worldwide Act’ Kuanzia leo, October 23, hadi 29 October wasanii […]

 

10 years ago

GPL

SAUTI SOL WATAJWA KUWANIA TUZO ZA BET 2015

Wasanii wanaounda kundi maarufu la Sauti Sol nchini Kenya. BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
BEYONCÉ
CIARA
JANELLE MONÁE
JHENÉ AIKO
K. MICHELLE
RIHANNA BEST MALE R&B/POP ARTIST
AUGUST ALSINA
CHRIS BROWN
JOHN LEGEND
THE WEEKND
TREY SONGZ
USHER BEST GROUP
A$AP MOB
JODECI
MIGOS
RAE SREMMURD
RICH GANG
YOUNG MONEY BEST… ...

 

10 years ago

Bongo5

Sauti Sol waongezeka kwenye tuzo za MTVEMA, kuchuana na Diamond na Davido

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTVEMA 2014 yametangazwa rasmi na sasa watu wanaweza kuanza kupiga kura. Kundi la Sauti Sol la Kenya limeongezea kwenye kipengele cha Best African Act kwenye tuzo za MTV Europe. Awali majina manne tu yalikuwa yametangazwa ambayo ni pamoja Davido,Toofan, Diamond na Goldfish. Hii ni orodha nzima. BEST AFRICAN ACT […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani