Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Scandnavia yaongoza, uwiano wa kijinsia

Ripoti mpya iliyotolewa kuhusiana uwiano wa kijinsia imeonesha kuwa nchi za SCANDNAVIA zinaongoza duniani kwa uwiano ulio bora.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Uwiano ni muhimu Baraza la Mawaziri

SIKU chache zilizopita, nilikuwa na mjadala mrefu na mmoja wa mawaziri wa serikali ya Rais John M

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mukoba: Uwiano wa kiuchumi ni mkubwa

RAIS wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba, amesema pamoja na uchumi kuonekana umekua, bado uwiano kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho ni mkubwa. Mukoba alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazanzibari wataka uwiano Bunge la Katiba

Suala la uwiano wa wajumbe katika Bunge Maalumu la Katiba, kati ya Tanzania Bara na Zanzibar, juzi jioni lilizua malumbano yaliyotokana na mjumbe, Said Ally Mborouk, kueleza kuwa Zanzibar kwa muda mrefu imekuwa ikionewa na kudhulumiwa.

 

9 years ago

Habarileo

Awamu ya 4 yaongoza fursa za elimu

SHIRIKA la Elimu la Hakielimu limezindua ripoti ya miaka 10 ya Serikali ya Awamu ya Nne iliyoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, iliyobainisha kuwa ni awamu iliyofanya vizuri katika kupanua fursa za elimu kwa watoto wengi wa Kitanzania.

 

10 years ago

Habarileo

India yaongoza kupewa uraia

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe.IDARA ya Uhamiaji kwa kipindi cha miezi tisa, kuanzia Julai mwaka 2014 hadi Machi huu, imewapa uraia wa Tanzania raia wa kigeni wapatao 192, kati yao 86 ni raia wa India.

 

9 years ago

Habarileo

CCM yaongoza halmashauri 3 Rukwa

MADIWANI wa Halmashauri tatu kati ya nne mkoani Rukwa wamefanya uchaguzi wa kuchagua wenyeviti na makamu wenyeviti ambapo CCM imeibuka kidedea kwa kushinda nafasi hizo kwa kishindo.

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaongoza magonjwa ya saratani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi masikini zinazoongozwa kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani za mfumo wa chakula na ini ikilinganishwa na nchi zinazoendelea. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani