Awamu ya 4 yaongoza fursa za elimu
SHIRIKA la Elimu la Hakielimu limezindua ripoti ya miaka 10 ya Serikali ya Awamu ya Nne iliyoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, iliyobainisha kuwa ni awamu iliyofanya vizuri katika kupanua fursa za elimu kwa watoto wengi wa Kitanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Tanzania yaongoza kwa bajeti kiduchu ya elimu
IMEELEZWA kuwa Tanzania ni nchi inayotenga bajeti ndogo katika sekta ya elimu barani Afrika ukilinganisha na nchi nyingine na kusababisha kushuka kwa kiwango cha elimu nchini. Hayo yamebainishwa jana na...
9 years ago
MichuziSHIVYAWATA WATAKA MAZINGIRA RAFIKI YA ELIMU KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Taasisi 12 zanyimwa fursa kutoa elimu ya Katiba
10 years ago
Michuzi18 Jul
Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika - Ridhiwani Kikwete
Ridhiwani Kikiwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu kuhusu malengo ya maendelo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Mhe. Ridhiwani Kikwete.Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa Mataifa hivi karibuni, mbunge huyo wa Chalinze mkoani Pwani anasema licha ya...
10 years ago
Vijimambo17 Jul
Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika: Ridhiwani Kikwete
Ridhiwani Kikwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu kuhusu malengo ya maendeleo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Ridhiwani Kikwete.Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa...
5 years ago
MichuziMAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - MAEKANI
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Balozi Sefu Iddi ataka jamii itumie fursa elimu ya juu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika Makamu Makuu yake Bungo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Na Othman Khamis Ame
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT) katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na...
9 years ago
StarTV23 Nov
Walimu watakiwa kutumia fursa zao katika Utatuzi Changamoto Za Elimu
Walimu nchini wametakiwa watumie fursa walizonazo kutatua changamoto za elimu kwa kuwa taifa linawategemea kupata wataalam.
Katika mahafali ya chuo kikuu cha DUCE imeelezwa kuwa Serikali inajitahidi kusomesha walimu kwa kutumia kodi za wananchi lengo likiwa ni kuongeza fursa za ajira ya walimu kutokana na uhaba wa walimu hasa katika masomo ya Sayansi.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo Prof. Martha Mlau amewtakaa wahitimu kutumia taaluma waliyoipata chuoni hapo, kwa kuwa taifa...
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Planet Core yaangalia fursa ya uwekezaji sekta ya elimu, mafuta na gesi Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kati kati ni Mwenyekiti wa Timu ya Uongozi wa Planet Core Bwana Deepak Balaji na Kulia ni Rais wa Taasisi hiyo Bwana Dilip Kulmarni.
Na Othman Khamis Ame
Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na Miundo mbinu ya Elimu, Madini, mafuta na Gesi, nishati na mawasiliano ya Planet Core kutoka...