Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu watakiwa kutumia fursa zao katika Utatuzi Changamoto Za Elimu

Walimu nchini wametakiwa watumie fursa walizonazo kutatua changamoto za elimu kwa kuwa taifa linawategemea kupata wataalam.

Katika mahafali ya chuo kikuu cha DUCE imeelezwa kuwa Serikali inajitahidi kusomesha walimu kwa kutumia kodi za wananchi lengo likiwa ni kuongeza fursa za ajira ya walimu kutokana na uhaba wa walimu hasa katika masomo ya Sayansi.

 Mgeni rasmi katika mahafali hayo Prof.   Martha  Mlau  amewtakaa wahitimu kutumia taaluma waliyoipata chuoni hapo, kwa kuwa taifa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wastaafu watakiwa kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi wastaafu Pemba Bwana Majid Moh’d akimkabidhi risala Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya hiyo hapo ukumbi wa Tasaf Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba. Baadhi ya Wajumbne wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba akifutilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiizindua rasmi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

9 years ago

Habarileo

Wathamini madini watakiwa kutatua changamoto zao

KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava amewataka Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, kuendelea kuwa wabunifu kutafuta majibu na suluhisho kwa changamoto zinazokabili tasnia ya vito nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Fursa na changamoto katika mkataba wa EPA

Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeingia katika hatua mpya baada ya kusaini Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara (Epa) na nchi za Jumuiya ya Ulaya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari

001

Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika Sekta ya masuala ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaofanyika jijini Dar es salaam.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari kwa kupata elimu na mafunzo ya sekta hiyo ambayo ni msingi...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake waaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari.

 Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika Sekta ya masuala ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaofanyika jijini Dar es salaam.  Mkurugenzi Msaidizi kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Mambo ya Bahari (IMO) Pamela Tansey akiwasilisha mada wakati wa ufunguzi wa mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kushirikiana na Vijana katika kutatua changamoto zao

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na Vijana wa Tanzania walioshiriki mkutano wa tatu wa Vijana kutoka nchi za Bonde la Mto Nile (hawapo pichani) uliofanyika nchini Misri kuanzia tarehe 6 – 14 Novemba 2015 ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu kutoka nchi washiriki. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MIGODI YA ACACIA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi Injini Philbert Rweyemamu akizungumza na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao na wafanyabiashara hao kilichokuwa na lengo la kuwapatia ufahamu juu ya masuala ya manunuzi.Bwana Nixson Mlumba – AfisaManunuzi wa ACACIA akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho Baadhi ya Wafanyabiashara wakifuatilia kwa makini maelezo ya kutoka kwa Uongozi wa Kampuni ya Acacia wakati wa Kikao hicho. Mmoja wa wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga akichangia...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIAMINI KATIKA NAFAZI ZAO ZA UONGOZI -KAIRUKI

Nabu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza na wanawake katika mkutano wa kuwajengea uwezo wanawake katika masuala ya uongozi uliofanyika katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam. Katibu mtendaji wa uongozi institue,Profesa Joseph Semboja  akizungumza katika mkutano wa kuwajengea uwezo wanawake katika masuala ya uongozi uliofanyika katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanawake walioshiriki mkutano wa kuwajengea uwezo katika masuala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani