Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fursa na changamoto katika mkataba wa EPA

Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeingia katika hatua mpya baada ya kusaini Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara (Epa) na nchi za Jumuiya ya Ulaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Walimu watakiwa kutumia fursa zao katika Utatuzi Changamoto Za Elimu

Walimu nchini wametakiwa watumie fursa walizonazo kutatua changamoto za elimu kwa kuwa taifa linawategemea kupata wataalam.

Katika mahafali ya chuo kikuu cha DUCE imeelezwa kuwa Serikali inajitahidi kusomesha walimu kwa kutumia kodi za wananchi lengo likiwa ni kuongeza fursa za ajira ya walimu kutokana na uhaba wa walimu hasa katika masomo ya Sayansi.

 Mgeni rasmi katika mahafali hayo Prof.   Martha  Mlau  amewtakaa wahitimu kutumia taaluma waliyoipata chuoni hapo, kwa kuwa taifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki na wajibu wako katika mkataba (3)

Mkataba wowote ni lazima uwe na haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine. Mtu anapoingia katika mkataba anatarajia kuwa atatimiza wajibu wake na mwenzake atatimiza wajibu wake ili kila mmoja apate haki yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia katika mkataba wa ajira

Kama ilivyo kwa mikataba mingine, uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni makubaliano, hiari ya kuingia mkataba, malipo halali, uwezo wa kuingia mkataba pamoja na uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika.

 

10 years ago

Vijimambo

FURSA YA WADAU KATIKA SEKTA YA TAMTHILIA NA FILAMU


Hii ni fursa ya wadau katika sekta ya tamthilia na filamu, wakiwemo watayarishaji chipukizi na wakongwe kuongeza ujuzi wao.

Mafunzo hayo ni ya muda mfupi. Baadhi ya vitu vitakavyo fundishwa ni pamoja na 

SCRIPT WRITING - WIKI 4
Uandishi wa filamu, Screenplay au script ni kazi inayoandikwa na screenwriters kwa ajili ya filamu, video game, au vipindi vya televisheni. 

VIDEO EDITING - WIKI 4
ni mchakato wa kuhariri picha tofauti za video ili kukamilisha simulizi. Pia uweka special effects na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania na fursa chekwa katika teknolojia ya habari

Mwaka 2012 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi), iliyo chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), aliainisha changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya sayansi na teknolojia pamoja na wagunduzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka sheria katika kilimo cha mkataba

Serikali imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi kiuchumi na shughuli za kilimo.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC

Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa kila mwaka wa umoja wa taasis za hali ya hewa katika nchi za Kusini mwa Afrika (MASA).
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto zilizopo katika kuunda mifumo ya elimu

Katika siku za hivi karibuni tumekuwa na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu. Tumehoji ubora na uwezo wake wa kukidhi mahitaji ya kitaifa. Makala haya yanajaribu kuangalia changamoto zinazoikumba nchi zetu katika kuunda mifumo ya elimu.

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UTALII NCHINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea na jitihada za kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na changamoto zinazowakumba wadau wa biashara ya utalii nchini. 
Katika kuhakikisha hilo linafanyika kwa mafanikio na kwa haraka, Nyalandu ametangaza kuanza kwa vikao vitakavyowakutanisha wataalamu wa Wizara zinazohusika na maliasili na utalii za Tanzania na Kenya kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali iili yapatiwe ufumbuzi kwa maslahi ya pande zote.

Hatua hiyo imetokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani