Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Scotland nje soka la wanawake

Timu ya soka ya wanawake ya Scotland imefungwa na Uholanzi magoli 2-0.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine duniani kote katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UWEZESHAJi WANAWAKE TEKELEZA WAKATI NI SASA"
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu,...

 

11 years ago

Michuzi

Wanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine kote duniani katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke, jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia (Mb.). Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA" Wanawake wa Wizara ya Mambo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibaha kuanzisha soka la wanawake

KAMPUNI ya Mtali Promotion imewataka wanawake wenye vipaji vya kucheza mpira wa miguu kujitokeza kwa wingi ili waweze kutengeneza timu ya Kibaha Sisters Football Club. Akizungumza na Tanzania Daima wakati...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake nguli kwenye soka watajwa

Nahodha Lucy Bronze na mlinda mlango Karen Bardsley wametajwa katika kikosi bora cha wanawake nyota katika kabumbu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake 5 kupigania taji la soka la BBC

Mshindi wa taji hilo atatangazwa mnamo mwezi May.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EVERGREEN: Kiota cha nyota soka ya wanawake

EVERGREEN si jina geni masikioni mwa wengi, hasa wapenzi na mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam kutokana na mchango wa timu hiyo katika kuibua na kukuza vipaji vya...

 

9 years ago

Habarileo

Kaijage aomba soka ya wanawake iungwe mkono

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mpira wa wanawake unahitaji kuungwa mkono kama ilivyo kwa wanaume.

 

9 years ago

Habarileo

Mkenya aipa somo TFF soka la wanawake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Kenya (Harambee Starlets), David Ouma amesema kuwa wakati umefika kuwawezesha wanawake wa Tanzania katika soka ili wapate nafasi sawa na wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani