Kibaha kuanzisha soka la wanawake
KAMPUNI ya Mtali Promotion imewataka wanawake wenye vipaji vya kucheza mpira wa miguu kujitokeza kwa wingi ili waweze kutengeneza timu ya Kibaha Sisters Football Club. Akizungumza na Tanzania Daima wakati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Feb
Kibaha kuanzisha Mfuko wa Elimu
HALMASHAURI ya Mji Kibaha inatarajia kuanzisha Mfuko wa Elimu ili kuweza kuboresha kiwango cha elimu na ufaulu kwa wanafunzi kwa kutoa elimu bora inayokwenda sambamba na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.
11 years ago
MichuziBenki ya wanawake, SUMA JKT kuanzisha kilimo cha kisasa ya umwagiliaji
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake, Bi.Margareth Chacha, amewaambia waandishi wa habari hivi karibuni kuwa ubia huo pia utawanufaisha sana wakulima wadogo wadogo ambao wanayazunguka maeneo ya JKT kwani mazao yao watayauza kwa JKT.
“Makubaliano haya ni hatua...
5 years ago
MichuziWANAWAKE WAPWANI GENERATION WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIBAHA
NA VICTOR MASANGU, KIBAHAWatoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha Sharom kilichopo kata ya Msangani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani wamemuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwasaidia kwa hali na mali kuwasaidia kuwatatulia changamoto mbali mbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mahitaji ya chakulai,nguo, huduma za matibabu pamoja na ujenzi wa jengo la nyumba kwa ajili ya kuweza kuishi.
Baadhi ya watoto hao akiwemo Sara Yendemba Dickson Michael na wakizungumza...
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Scotland nje soka la wanawake
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Wanawake nguli kwenye soka watajwa
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
9 years ago
Habarileo26 Aug
Mkenya aipa somo TFF soka la wanawake
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Kenya (Harambee Starlets), David Ouma amesema kuwa wakati umefika kuwawezesha wanawake wa Tanzania katika soka ili wapate nafasi sawa na wanaume.
9 years ago
Habarileo02 Sep
Kaijage aomba soka ya wanawake iungwe mkono
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mpira wa wanawake unahitaji kuungwa mkono kama ilivyo kwa wanaume.