Sefue ataka simu kuripoti unyanyasaji
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, ametaka kuwepo kwa namba maalumu ya simu (hotline) itakayotumiwa na makatibu muhtasi kwa ajili ya kupeleka malalamiko dhidi ya unyanyasaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia
Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.
Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Sefue ataka vyuo kupika wasomi
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amevitaka vyuo na taasisi za elimu kuhakikisha vinatoa mafunzo bora yanayoendana na mahitaji ya soko la ajira.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/zz_2ScDne7o/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Mnyika ataka haki ugawaji nafasi kituo cha simu 2000
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ameitaka Manispaa ya Kinondoni kugawa nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha Daladala Simu 2000 kwa kuzingatia haki ili kuepuka misuguano. Mnyika, aliyasema...
5 years ago
MichuziMABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
Mdee kuripoti Polisi leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Halima-Mdee--Ocxtober7-2014.jpg)
Baada ya kukamatwa akifanya maandamano yenye nia kwenda Ikulu kumshinikiza Rais Kikwete kutoipokea Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee, anatarajiwa kuripoti leo katika Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Datr es Salaam.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alisema kuwa mbunge huyo ataripoti kituoni...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho
11 years ago
BBCSwahili24 May
Watu 35 zaidi waagizwa kuripoti Thailand
10 years ago
Mtanzania09 May
Wanafunzi 700 washindwa kuripoti shuleni
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
WANAFUNZI 712 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu Misungwi, mkoani Mwanza, bado hawajaanza masomo yao katika shule 23 za sekondari.
Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Misungwi, Tabu Makanga.
Alisema wanafunzi waliofaulu kwenda sekondari ni 3,884 na kati ya hao, 700 hawajaripoti katika shule walizopangiwa, huku 12 wakiwa wamehamishiwa shule nyingine kwa taratibu za kisheria.
Alisema wavulana waliofaulu na kutakiwa...