Wanafunzi 700 washindwa kuripoti shuleni
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
WANAFUNZI 712 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu Misungwi, mkoani Mwanza, bado hawajaanza masomo yao katika shule 23 za sekondari.
Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Misungwi, Tabu Makanga.
Alisema wanafunzi waliofaulu kwenda sekondari ni 3,884 na kati ya hao, 700 hawajaripoti katika shule walizopangiwa, huku 12 wakiwa wamehamishiwa shule nyingine kwa taratibu za kisheria.
Alisema wavulana waliofaulu na kutakiwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WANAFUNZI 1725 WASHINDWA KURIPOTI SHULENI WILAYA YA KILOLO
5 years ago
Michuzi
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
10 years ago
Habarileo23 Nov
Wanafunzi 24 waliopata mimba watakiwa kuripoti Polisi
MKUU wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Nurdin Babu ameagiza wanafunzi 24 wa shule mbalimbali za sekondari wilayani humo waliopata ujauzito kuripoti kituo cha polisi cha wilaya Novemba 25 mwaka huu ili watoe ushirikiano kukamatwa watu waliowatia mimba.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Wanafunzi 1,700 wakacha shule
WANAFUNZI 1,725 waliotakiwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza wilayani Kilolo, wameshindwa kuripoti kutokana na sababu mbalimbali. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilichofanyika katika...
10 years ago
GPLBASI LA WANAFUNZI WALEMAVU SINZA LAKAMATWA, WASHINDWA KWENDA SHULE
5 years ago
Michuzi
WAZIRI JAFO AWATAKA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KURIPOTI KWA WAKATI
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Wanafunzi walioolewa warejeshwa shuleni
HALMASHAURI ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha, i m e f a n i k i w a kuvunja ndoa bubu za wanafunzi wawili wa shule ya msingi walioachishwa shule na kuolewa na kuwarejesha shuleni na kuendelea na masomo yao mwaka 2015.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Lugha ya kufundishia shuleni inavyowachanganya wanafunzi