Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi walioolewa warejeshwa shuleni

HALMASHAURI ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha, i m e f a n i k i w a kuvunja ndoa bubu za wanafunzi wawili wa shule ya msingi walioachishwa shule na kuolewa na kuwarejesha shuleni na kuendelea na masomo yao mwaka 2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania

Takriban wasichana 808 wamewacha shule katika kipindi cha miaka minane katika jimbo la Rukwa nchini Tanzania kutokana na mimba.

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi 700 washindwa kuripoti shuleni

NA TWALAD SALUM, MISUNGWI

WANAFUNZI 712 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu Misungwi, mkoani Mwanza, bado hawajaanza masomo yao katika shule 23 za sekondari.

Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Misungwi, Tabu Makanga.

Alisema wanafunzi waliofaulu kwenda sekondari ni 3,884 na kati ya hao, 700 hawajaripoti katika shule walizopangiwa, huku 12 wakiwa wamehamishiwa shule nyingine kwa taratibu za kisheria.

Alisema wavulana waliofaulu na kutakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lugha ya kufundishia shuleni inavyowachanganya wanafunzi

Mjadala wa lugha ipi inapaswa kutumia kufundishia katika ngazi mbalimbali za elimu nchini, umeendelea kusumbua vichwa vya watu wengi, wakiwamo wasomi na wadau wa elimu

 

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI WAPIGWA NA RADI WAKIWA SHULENI

WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
Wanafunzi hao walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure, ambapo walipatiwa matibabu na hali zao zinaendelea vizuri.

Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola alithibitisha tukio hilo.

Alisema wanafunzi watatu hadi jana mchana walikuwa wakiendelea na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa

Rukwa bado, unakabiliwa na tatizo sugu la ujauzito kwa wanafunzi wa kike, suala linalochangia kuporomoka kwa kiwango cha elimu mkoani humo.

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI 1725 WASHINDWA KURIPOTI SHULENI WILAYA YA KILOLO

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo,Mh.Gerald Guninita akifungua kikao cha DCC katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya,Kushoto ni Mkurugenzi Ruukia Muwango na Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Wilaya,kikao kilichofanyika mwisho mwa wiki katika ukumbi wa halmashauri hiyo. Mkurugenzi wa wilaya ya Kilolo Rukia Muwango akisoma taarifa ya wilaya…

 

10 years ago

Mwananchi

Nani anajali matumizi ya vyakula bora kwa wanafunzi shuleni?

Sanura Bushiri (jina sio lake) anasoma darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Majani ya Chai iliyopo Manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU

Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo. Ilemela ni moja kati ya majimbo saba yanayounda Mkoa wa Mwanza ambalo linaongozwa na Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA). Wiki iliyopita, Uwazi lilitembelea Kata za Nyakato, Mecco, Buzuruga, Nyasaka, Ilemela, Kahama, Kiseke, Sangabuye, Kayenze, Bugongwa, Shibuda, Pasiansi, Kawekamo, Kitangiri, Kirumba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani