Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania

Takriban wasichana 808 wamewacha shule katika kipindi cha miaka minane katika jimbo la Rukwa nchini Tanzania kutokana na mimba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa

Rukwa bado, unakabiliwa na tatizo sugu la ujauzito kwa wanafunzi wa kike, suala linalochangia kuporomoka kwa kiwango cha elimu mkoani humo.

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Waliopata mimba sasa kurudi shuleni

SERIKALI imedhamiria kuanza utaratibu utakaoweka mazingira ya wanafunzi waliopata mimba wakiwa shule kurudi shuleni kwa lengo la kuhakikisha hawakosi elimu. Aidha, katika kutekeleza Sera ya Elimu ya Mwaka 2014, kuanzia mwakani inayoeleza kutoa elimu bure, Serikali imewataka wazazi na walezi kwenda kuandikisha watoto kwani ada na michango yote imeondolewa ili kuwezesha watoto wote wapate elimu ya msingi.

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA ARUMERU WAKUBALIANA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA UTORO SHULENI

Na Woinde Shizza, ARUMERUWajumbe wa baraza la madiwani Halmashauri ya Meru, wilayani Arumeru, wamekubaliana kuwa na agenda ya kutokomeza mimba za utotoni na utoro shuleni kudumu kwenye vikao vya Vijiji na Kata kwa kujikita kuelimisha jamii kuanzia ngazi ya familia. Wajumbe hao wameadhimia hilo, mara baada ya, madiwani wa Kata kadhaa kuwasilishwa taarifa zinazoonesha changamoto ya mimba za utotoni zinazowaka bili wanafunzi katika kata zao. Awali taarifa hizo zimethibitishwa na Idara...

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi walioolewa warejeshwa shuleni

HALMASHAURI ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha, i m e f a n i k i w a kuvunja ndoa bubu za wanafunzi wawili wa shule ya msingi walioachishwa shule na kuolewa na kuwarejesha shuleni na kuendelea na masomo yao mwaka 2015.

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi 700 washindwa kuripoti shuleni

NA TWALAD SALUM, MISUNGWI

WANAFUNZI 712 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu Misungwi, mkoani Mwanza, bado hawajaanza masomo yao katika shule 23 za sekondari.

Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Misungwi, Tabu Makanga.

Alisema wanafunzi waliofaulu kwenda sekondari ni 3,884 na kati ya hao, 700 hawajaripoti katika shule walizopangiwa, huku 12 wakiwa wamehamishiwa shule nyingine kwa taratibu za kisheria.

Alisema wavulana waliofaulu na kutakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lugha ya kufundishia shuleni inavyowachanganya wanafunzi

Mjadala wa lugha ipi inapaswa kutumia kufundishia katika ngazi mbalimbali za elimu nchini, umeendelea kusumbua vichwa vya watu wengi, wakiwamo wasomi na wadau wa elimu

 

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI WAPIGWA NA RADI WAKIWA SHULENI

WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
Wanafunzi hao walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure, ambapo walipatiwa matibabu na hali zao zinaendelea vizuri.

Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola alithibitisha tukio hilo.

Alisema wanafunzi watatu hadi jana mchana walikuwa wakiendelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani