Waliopata mimba sasa kurudi shuleni
SERIKALI imedhamiria kuanza utaratibu utakaoweka mazingira ya wanafunzi waliopata mimba wakiwa shule kurudi shuleni kwa lengo la kuhakikisha hawakosi elimu. Aidha, katika kutekeleza Sera ya Elimu ya Mwaka 2014, kuanzia mwakani inayoeleza kutoa elimu bure, Serikali imewataka wazazi na walezi kwenda kuandikisha watoto kwani ada na michango yote imeondolewa ili kuwezesha watoto wote wapate elimu ya msingi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Waliopata ujauzito shuleni walia ujuaji kuwaponza
WANAJIITA ‘Single Mothers’. Hawa si wengine ni wasichana waliopata ujauzito wakiwa masomoni Wilaya ya Mbeya, jijini hapa. Jamii imekuwa ikiamini kuwa tatizo kubwa la wasichana lipo vijijini, lakini wasichana hawa...
10 years ago
Habarileo23 Nov
Wanafunzi 24 waliopata mimba watakiwa kuripoti Polisi
MKUU wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Nurdin Babu ameagiza wanafunzi 24 wa shule mbalimbali za sekondari wilayani humo waliopata ujauzito kuripoti kituo cha polisi cha wilaya Novemba 25 mwaka huu ili watoe ushirikiano kukamatwa watu waliowatia mimba.
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yY4Xe6DNog8/XnjNyQm-X1I/AAAAAAALk1w/l73Q1Yjo36Y-ua5Joq3KK2idh8HFs2kEwCLcBGAsYHQ/s72-c/thumb_648_800x420_0_0_auto.jpg)
WAJUMBE BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA ARUMERU WAKUBALIANA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA UTORO SHULENI
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Maalim Seif: Siwezi kamwe kurudi CCM hii ya sasa
11 years ago
Michuzi24 Jul
SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
10 years ago
Habarileo19 Dec
Ruzuku sasa kulipwa moja kwa moja shuleni
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa amesema Serikali inabadilisha mfumo wa kutoa ruzuku kwa shule za sekondari nchini, ambapo kuanzia sasa, fedha hizo zitakuwa zikienda moja kwa moja kwenye shule husika, badala ya kupitia kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.