Sefue: Mipango hafifu chanzo cha kushindwa malengo ya milenia
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema serikali haijaweza kufanikiwa kwa kiwango kikubwa  malengo ya milenia ya mwaka 2000 ambayo kwa sasa yananamaliza muda wake kwa sababu ya kukosa mipango thabiti ya jinsi ya kuyafanikisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Feb
Maandalizi hafifu chanzo cha udanganyifu wa mitihani
MAANDALIZI hafifu ya watahiniwa wa mitihani kwa ngazi zote ndio chanzo kikubwa cha kuwapo udanganyifu katika mitihani ya mwisho.
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Mikakati, mipango ya muda mrefu chanzo cha mafanikio ya kiuchumi
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Malengo ya Milenia:TZ
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Wadau wakosoa Malengo ya Milenia
11 years ago
Habarileo09 Jan
SMZ yavuka malengo ya milenia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.
10 years ago
Habarileo10 Oct
Ulemavu wa kutoona waathiri Malengo ya Milenia
SERIKALI imesema ulemavu wa kutokuona unaathiri juhudi zinazosaidia kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia likiwemo la kuondoa umasikini uliokithiri.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?
11 years ago
Habarileo30 May
JK ataka Malengo ya Milenia kuendelea kutekelezwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa Malengo ya Milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia