Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekondari ya Engutoto yapewa magodoro 185

CHAMA cha Mawakala wa Utalii nchini (TATO), kimetoa msaada wa magodoro 185 na mashuka 370, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni nane kwenye shule ya sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magodoro sekondari Ndwika yateketea kwa moto

CHUMBA cha kuhifadhia magodoro pamoja na vifaa vingine katika shule ya sekondari ya bweni ya wasichana ya Ndwika iliyopo kata ya Lulindi halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kimeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa katika shule hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

10 years ago

Daily News

185 Tanzanians jailed in China


185 Tanzanians jailed in China
Daily News
AT least 185 Tanzanians have been imprisoned in China for various crimes including drug smuggling by 2014, with several serving long sentences behind bars. However, the Deputy Minister for Home Affairs, Pereira Ame Silima, told the National Assembly ...

 

9 years ago

Michuzi

NEEC yawadhamini wajasiriamali 185 milioni 244.5 Benki ya posta

Benki ya Posta Tanzania imetoa mikopo ya jumla ya million 244,500,000.00 kwa wajasiriamali 185 kwa ajili ya kukuza shughuli zao na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Mikopo hii imedhaminiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi. Anna Dominick, amewambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa wajasiriamali hao 185 ni wanachama wa vicoba vinane.  “Kati yao wanawake 137 sawa na asilimia 74 na wanaume 48 sawa na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA SH. BILIONI 1.185 KUKABILIANA NA COVID-19

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakikagua jenereta lilitolewa na familia ya Karimjee Jivanji ya jijini Dar es salam lenye thamani ya sh. milioni 75 wakati alipopokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Azan Zungu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim...

 

11 years ago

Habarileo

Exim yatoa magodoro 60 Mwananyamala

BENKI ya Exim ya Tanzania imeadhimisha Sikukuu ya Mama Duniani kwa kuchangia magodoro 60 katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YAIPATIA HOSPITALI YA TEMEKE VITANDA, MAGODORO NA MASHUKA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF, imeisaidia hospitali ya wilaya ya Temeke, vitanda, magodoro na mashuka ili kusaidia serikali katika juhudi zake za kupunguza uhaba wa vifaa vya hospitali za umma.
Msaada huo ambao ni utekelezaji wa maombi ya Mbunge wa viti maalum, Angela Kairuki, alioutoa kwa uongozi wa PSPF, baada ya kutembelea hospitali hiyo wakati akiwa naibu waziri wa Sheria na Katiba, na kukuta akina mama wajawazito waliofika hospitalini hapo kujifungua wengine wakilala chini kutokana na uhaba...

 

5 years ago

Michuzi

ULEGA AKABIDHI MAGODORO 70 KAMBI YA WATU WALIOPO KARANTINI MKURANGA


NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGA  Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amekabidhi Magodoro Sabini (70) kwa ajili ya kambi ya watu walioko kwenye karantini wilayani Mkuranga.  Hatua hiyo ya Ulega ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na ugojwa wa Homa ya Mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona ambao umekuwa janga la Ulimwengu.  Magodoro hayo, Mbunge huyo aliyapokea kutoka kwa wadau na marafiki mbalimbali walioamua ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani