SEKTA BINAFSI YASAINI HATI YA UADILIFU
![](http://1.bp.blogspot.com/-MHGMY208y5E/Vc38PPJe1DI/AAAAAAAHwqY/BQFcayyB8bo/s72-c/Jakaya-Kikwete3-2.jpg)
Na Lilian Lundo, MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete (Pichani)amezipongeza sekta binafsi kwa kukubali kusaini hati ya ahadi ya uadilifu katika harakati za mapambano dhidi ya rushwa na utovu wa nidhamu.
Rais alisema hayo katika wakati akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa hati hizo zinazojumuisha sekta ya Umma na Binafsi katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katika hafla hiyo, Mhe. Rais alisaini hati tatu ambazo ni Hati ya ahadi ya uadilifu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QpQWJyAacNI/Vc4WNbebvxI/AAAAAAAHw0Q/LqNSl7V7aJU/s72-c/u1.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-QpQWJyAacNI/Vc4WNbebvxI/AAAAAAAHw0Q/LqNSl7V7aJU/s640/u1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-U_tltq94G1g/Vc4WNWtlOLI/AAAAAAAHw0Y/M6ocTVnIUlk/s640/u2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zVYh2YBy4Oo/Vc4WMtrhQvI/AAAAAAAHw0M/0CZ0XQc7T5c/s640/u5.jpg)
9 years ago
Habarileo24 Dec
Sekta binafsi sasa kusaini fomu ya ahadi ya uadilifu
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetaka kampuni na taasisi binafsi kusaini fomu za ahadi ya uadilifu ili kupambana na rushwa, ufisadi na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa.
9 years ago
Michuzi20 Aug
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s72-c/IMG_2076.jpg)
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s1600/IMG_2076.jpg)
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Tanzania yasaini hati ya makubaliano
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7Nr85iToPjE/Xuyv5d67UeI/AAAAAAALuls/wCd5IV8DjSY6B1VFHKTGao_2YiwXs4GPACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B1.39.54%2BPM.jpeg)
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Serikali yasaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa daraja la Salenda
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9nsL2uSKVQc/XrLOlxD4oZI/AAAAAAALpTU/J1B_Or4uIH0bBIdLWg-PelRq2yBQCijwgCLcBGAsYHQ/s72-c/Serengeti.jpg)
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
10 years ago
Habarileo08 Mar
Sekta ya madini wahimizwa uadilifu
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amewahimiza Watumishi wa Umma katika Sekta ya Madini kuwa wazalendo na kufanya kazi kwa ubunifu .