Sema Wewe sasa, baada ya uchaguzi….
Mpendwa mzalendo na msomaji wa mzalendo.net, nahitaji mchango na maoni yako. Kufuatia kipindi hichi cha uchaguzi mkuu 2015, mara baada ya uchaguzi kumalizika; Nani unadhani atashika nafasi ya: 1) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar. […]
The post Sema Wewe sasa, baada ya uchaguzi…. appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Sema wewe
Na Waandishi Wetu, Mwanza
SEMA wewe. Ndivyo unavyoweza kutamka baada ya maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza kujitokeza kumpokea mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa jana.
Vilevile, Jeshi la polisi mkoani hapa lililazimika kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chadema na vyama vingine vinayounda UKAWA ambao walikuwa wamefurika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Mabomu hayo yalianza kupigwa ya saa 6:20 mchana. Mabomu hayo yalipigwa baada ya wafuasi hao...
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema unakaujinga”>>>Uwoya
Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janja baada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake.
Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa mashabiki kutokana na Irene Uwoya kutotaja jina la mtu anayempenda na mwenye ujinga na wengi kubaki na maswali.
Baada ya muda Dogo...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Walikuwa maskini kama wewe, sasa ni matajiri wa kutupwa
OPRAH WINFREY.
Hakuna anayezaliwa na fedha, binadamu wote wamekuja duniani wakiwa mikono mitupu kabisa, tena bila nguo. Watu wanapokua, wengi wanakuwa hawana vitu hivyo na hata kula yao wakati mwingine ni ya shida mno.
Wanapofanikiwa, huwa hawakai kimya, wanatamani na wengine wafanikiwe ndiyo maana wengine wamekuwa wazi na kusema: “Kuzaliwa maskini si kosa lako, ila kufa maskini, hilo ni kosa lako.”
Hawa hapa chini ni matajiri wakubwa kwa sasa, ila kabla ya hapo, walikuwa maskini kama wewe...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA

Makampuni ya simu kama Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na mengineyo yamekuwa yakitenda makosa mbalimbali kwa wateja wao. Mara kwa mara wateja wa simu wamekuwa wakilalamikia matendo ya makampuni haya lakini wengi wao wamekuwa hawachukui hatua zaidi ya kulalamika. Ni watu wachache mno ambao wamekwishachukua hatua za kisheria dhidi ya makampuni haya licha ya uonevu mkubwa wa kihuduma wanaousababisha. Ukiangalia kwa...
10 years ago
MichuziUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
VijimamboUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI