Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA UJASIRIAMALI YA BURE-TANDALE KUANZA APRILI 1-4, 2015

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHIGONGO AZINDUA SEMINA YA UJASILIAMALI TANDALE-DAR

Wahamasishaji maarufu wa ujasiliamali Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo na James James Mwang’amba wakiwasalimia umati kabla ya kuanza semina. Shigongo akioa somo kwenye semina hiyo.…

 

11 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA BURE YA UALIMU WA UJASIRIAMALI

Taasisi ya RAFIKIELIMU FOUNDATION kupitia mradi wa ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINI, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UALIMU WA UJASIRIAMALI . Wahitimu wa mafunzo haya watapata nafasi ya kufanya kazi kwa kujitolea kama waalimu wa ujasiriamali katika MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI & VIJIJINI.   IDADI YA NAFASI :   Nafasi 5 katika kila kata ya jiji la Dar Es salaam.   SIFA ZA MWOMBAJI :   1. Awe raia wa ...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA UJASIRIAMALI KUFANYIKA 25-28 MACHI DAR LIVE

Mkurugenzi Mtendaji wa Ideal Healthcare Centre, John Kabugi (katikati), akielezea namna ya faida ya mti wa Mlonge ilivyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Fedha na Utawala wa Ideal Healthcare,  Ester Mtwalizya,  akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.…

 

10 years ago

GPL

DC TEMEKE AHUDHURIA SEMINA YA UJASIRIAMALI DAR LIVE

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ideal Health Care Saravai R. Izina akitoa ufafanuzi katika semina hiyo. Wanasemina wakifuatilia jambo. Mshauri na mtafiti wa masuala ya afya wa Ideal Health Care, John Kabugi akielezea jambo katika semina hiyo.…

 

11 years ago

GPL

SEMINA YA KIMATAIFA YA UJASIRIAMALI YAENDELEA DAR LIVE

Kisamvu kilichotengenezwa kitaalam na wajasiriamali hao ambacho kina uwezo wa kukaa siku tano bila kuharibika.
Wataalam wa mafunzo wakionesha mashine ya kutotoa vifaranga vya kuku kwa wajasiriamali (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA LUVTOUCH MANJANO ATEMBELEA WASHIRIKI WA SEMINA YA UJASIRIAMALI

   Balozi wa Luv touch Manjano Irene Pul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.

Lengo la Mradi huo ni kuona kwamba wanawake hawa wanajisimamia na kujikita vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara zao kwa lengo la kumuongezea ajira mwanamama na kuondoa dhana za ukosefu wa ajira kuwa chungu ya yeye kujiwezesha katika kujikimu mahitaji yake ya msingi,...

 

9 years ago

GPL

SHIGONGO ATOA SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TCRA SACCOS

Eric Shigongo akifundisha somo la Sheria 10 zilizothibitishwa za jinsi ya kutoka kwenye umasikini hadi mafanikio kwa wanachama wa TCRA Saccos. Baadhi ya wafanyakazi na wanachama wa TCRA Saccos wakimsikiliza kwa makini somo la…

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UJASIRIAMALI TANZANIA KUANZA NOVEMBA 17

Mratibu wa Wiki ya Ujasiriamali Tanzania, Lilian Secelela Madeje (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya wiki hiyo inayotarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu jijini humo. Kutoka kushoto ni mmoja wa wajasiriamali, Mboni Masimba wa kipindi cha Mboni Show na Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa. Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa (kushoto)...

 

10 years ago

Habarileo

Treni iendayo kasi kwenda Bara kuanza Aprili

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza nauli ya treni mpya ya Deluxe, zilizoidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), zitakazoanza kutumika mapema Aprili, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani