Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIKI YA UJASIRIAMALI TANZANIA KUANZA NOVEMBA 17

Mratibu wa Wiki ya Ujasiriamali Tanzania, Lilian Secelela Madeje (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya wiki hiyo inayotarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu jijini humo. Kutoka kushoto ni mmoja wa wajasiriamali, Mboni Masimba wa kipindi cha Mboni Show na Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa. Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa (kushoto)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kombe la FA kuanza Novemba

Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Martin Chacha amesema wanatarajia mashindano ya Kombe la  Chama cha Soka  (FA)  kuanza Novemba.

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni Serikali za Mitaa kuanza Novemba 30

KAMPENI kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika kote nchini Desemba 14, mwaka huu zitafanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 30.

 

11 years ago

GPL

NACTER INTER –COLLEGE KUANZA NOVEMBA 21

   Afisa masoko wa Miss Demokrasia  Magreth Kilawe akisisitiza jambo.
Wadau na wahusika wa mashindano ya vyo wakisikiliza maswali kutoka kwa waandishi vya habari pichani hawapo.
    Waandishi wa habari wakisililiza.…

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUHAMIA KANDA YA KATI MKOANI DODOMA, ZOEZI LA KUTAFUTA WASHINDI KUANZA JUMAMOSI YA WIKI HII

Na Josephat Lukaza wa Proin 
Promotions Limited - Mwanza Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza.
Katika Kanda ya Kati  mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya tarehe...

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
 Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...

 

9 years ago

Dewji Blog

NEEC lahitimisha mafunzo ya wiki nane ya Ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini

IMG_0595

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya wiki nane ya ujasiriamali kwa wanafunzi hao mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yaliendeshwa chini ya mpango wa Cambridge Development Initiative (CDI) ili kuimarisha mafunzo ya maswala ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini.  CDI ni mpango ulioasisiwa na wanafunzi wa Chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani