Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NACTER INTER –COLLEGE KUANZA NOVEMBA 21

   Afisa masoko wa Miss Demokrasia  Magreth Kilawe akisisitiza jambo.
Wadau na wahusika wa mashindano ya vyo wakisikiliza maswali kutoka kwa waandishi vya habari pichani hawapo.
    Waandishi wa habari wakisililiza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAINALI YA AIRTEL UNI255 UDSM INTER-COLLEGE CHAMPIONS LEAGUE YAHIMITISHWA

Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Betram Mapunda akikagua wachezaji wa Chuo cha Sayansi za Jamii, kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Uni 255, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam juzi. Timu hizo zilitoka sare ya magoli 1-1 katika mpambano huo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kombe la FA kuanza Novemba

Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Martin Chacha amesema wanatarajia mashindano ya Kombe la  Chama cha Soka  (FA)  kuanza Novemba.

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni Serikali za Mitaa kuanza Novemba 30

KAMPENI kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika kote nchini Desemba 14, mwaka huu zitafanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 30.

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UJASIRIAMALI TANZANIA KUANZA NOVEMBA 17

Mratibu wa Wiki ya Ujasiriamali Tanzania, Lilian Secelela Madeje (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya wiki hiyo inayotarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu jijini humo. Kutoka kushoto ni mmoja wa wajasiriamali, Mboni Masimba wa kipindi cha Mboni Show na Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa. Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Magabe Kibiti Maasa (kushoto)...

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
 Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani