Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA UTHAMINISHAJI MADINI KUFANYIKA BAGAMOYO

Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito (TANSORT) inatarajia kufanya semina ya siku mbili ambayo itahusisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda na Afisa Madini Wakazi yenye lengo la kujadili utendaji kazi, mafanikio pamoja na maboresho ya tasnia ya vito na almasi nchini.
Semina hiyo itakayofunguliwa na Katibu Mkuu wa Wizara Bw. Eliakim Maswi, inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2014 na kumalizika Agosti 15, 2014.
TANSORT itaendesha semina hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SEMINA SIKU YA MSANII KUFANYIKA KESHO

SEMINA ya wasanii mbalimbali iliyoandaliwa na Kamati ya Siku Ya Msanii itafanyika kesho Alhamisi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Mjini Dar es Salaam. Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Petter Mwendapole alisema maandalizi yote kwa ajili ya semina hiyo yamekamilika na kwamba wasanii 400 mpaka jana walikuwa wameshajiandikisha. “Lengo letu ni kuwaelimisha wasanii katika kazi zao, lakini pia kuweza kuwapa nafasi ya kupata...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA UJASIRIAMALI KUFANYIKA 25-28 MACHI DAR LIVE

Mkurugenzi Mtendaji wa Ideal Healthcare Centre, John Kabugi (katikati), akielezea namna ya faida ya mti wa Mlonge ilivyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Fedha na Utawala wa Ideal Healthcare,  Ester Mtwalizya,  akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.…

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUFANYIKA MEI 16 BAGAMOYO MJINI

Na Mwandishi Wetu MPAMBANO mkali wa masumbwi utafanyika Bagamoyo Mei 16 katika ukumbi wa che kwa che uliopo Bagamoyo mjini mpambano uho utawakutanisha bondia Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo atakaezipiga na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam

mpambano uho utachezwa baada ya kila bondia kujigamba kuwa yeye ni zaidi ya mwenzie siku hiyo pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali wenye upinzani mkali katika masumbwi

Rashidi Haruna atakumbana na Kaminja...

 

11 years ago

Mwananchi

Maziko ya Bwanamdogo kufanyika Bagamoyo leo

Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo anazikwa leo kijijini kwake, Miono Bagamoyo, maziko yanayotarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali.

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA SEMINA YA 25 YA CPA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII MJINI BAGAMOYO

Mjumbe wa wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishia Mhe. Zahara Ali Hama akichota maji kutoka kisima cha kale cha maajabu kwenye msikiti wa Kale wa Kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana. Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembelea makabuli ya kaole wakati wa ziara ya...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

Mmoja wa maofisa wa tamasha hilo, Muslim Nassor,  akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani). Wasanii wa kundi la The Spirit Band  wakiwa katika pozi. TAMASHA la Karibu Music Festival lenye lengo la…

 

10 years ago

Michuzi

Membe mgeni rasmi mahafali UB, kufanyika kesho Bagamoyo

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, kesho Jumamosi Desemba 6 anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi Katika Mahafali ya Pili ya  Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo kwa vyombo vya Habari Dar Es Salaam,  na Ofisa Habari wa  ( UB), Happiness Katabazi, inasema Kuwa Membe ndiye Atakuwa mgeni rasmi Katika mahafali hayo ambayo yatafanyika Katika Hoteli ya Kiromo  View Resort  kijijini Kiromo Wilayani Bagamoyo,Mkoani Pwani.

Katabazi alisema...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

 Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan na Kulia ni Afisa Habari wa Karibu Music Festival, Said Hashim.Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan
BOFYA...

 

10 years ago

GPL

‘BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON’ KUFANYIKA JUNI 14, 2015

Meneja wa huduma wa kampuni ya Vision Investment, Dorah Raymond (kushoto) na muandaaji wa tamasha, Dominic Mosha (katikati) akiwa na Fatma Mfundo (kulia). Meza kuu ikisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani