Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEND OFF PARTY YA FLORA MOCHIWA AKA MADIKODIKO IMASCO DAR

Flora Mochiwa au ukipenda madikodiko akiwa na mpambe wake kwenye sherehe ya kumtoa Bi. harusi mtarajiwa (send off party) iliyofanyika siku ya Ijumaa June 19, 2015 katika ukumbi wa IMASCO uliopo Temeke jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na ndugu, jamaa na marafiki Flora Mochiwa ni mkaazi wa Houston, Texas na harusi rasmi itafanyika mwisho wa mwaka huu jijini H-Town (Houston) Texas nchini Marekani.Flora Mochiwa akiwa na mpambe wake kwenye sherehe ya kumtoa Bi. harusi mtarajiwa iliyofanyika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUPER MODEL FLAVIANA MATATA'S SEND OFF PARTY NDANI YA SHINYANGA



CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imedhaminiwa  na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesanesa. Kwa mapicha exclusive ya kumwaga toka 8020fashionblog.comBOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

SEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA

  Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina  akiwa katika nyuso ya Furaha, jana tarehe 25.11.2014   Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard  Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa . Bibi harusi Mtarajiwa Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard  zawadi ya Saa Mara baada ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

CHEREKO LA USIKU WA SUMAI, BONGE LA PARTY LA SEND OFF LAFANYIKA JEMBE BEACH MWANZA.

Sumai Kazi (with white dress) akiwa na dada ake wakiingia eneo la ukumbi kwa kutumia boat maalum ili kujumuika na ndugu jamaa na marafiki waliofika Jembe Beach kushuhudia Send Of Party yake.Wakishuka kwa kutumia ghati tayari kuingia ukumbini.Sumai (L) akiwa na dadayake (R) sanjari body guard wake. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

TheCitizen

Dar to send peacekeepers to Juba

>Tanzania will send a battalion of peacekeepers to South Sudan this year as part of its support to efforts aimed at stabilising the newest nation torn by civil strife.

 

10 years ago

Dewji Blog

Send Off ya Zourha Malisa wa Times FM Radio yafana Dar

 Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa  ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na baba yake, Malisa kushoto.

03

 Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo

 Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee...

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)

TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU

YA KIFO CHA MPENDWA WETU

FLORA FLOWIN MKANULA

(1993 – 2013)

___________________________________


Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi.  Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mr.Tz aka SanTz NEW VIDEO: Micharazo B.O.B ft Mr.Tz aka SanTz - True Story



Team 26 , introducing member wa B.O.B Click huko marekani, Mr.Tz aka SanTz

 

10 years ago

Vijimambo

PICTURE OF THE DAY - MISS LUPS AKA DR LUPS AKA TWITWI

Picture of the Day, Miss Lups Ndani ya 2014 Harley Davidson Motor Cycle Ready to Roll.


Ms Lups Exploring the streets of area code 413 (Toronto) and the best way to explore the streets of Toronto is to look at signs signs and signs...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani