Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEREKALI YAONYA WANAOTOROSHA MADINI

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite one Hussein Gonga akiwa anamuonyesha Waziri wa nishati na majini George Simbachawene madini ambayo yanachibwa na kampuni yao. Na Woinde Shizza,Arusha Serikali imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku,ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi.


Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha mikutano cha Arusha(AICC) inakusudia kuanzisha kituo cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaonya wanaotorosha madini

20150422_125009

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Hussein Gonga akiwa anamuonyesha Waziri wa Nishati na Madini, Mh. George Simbachawene madini ambayo yanachimbwa na kampuni yao. (Habari picha kwa hisani ya woindeshizza blog).

20150422_125128

Na Woinde Shizza, Arusha

Serikali imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku,ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi.

Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaotorosha tumbaku kukiona

SERIKALI mkoani Tabora imesema itahakikisha inawadhibiti wakulima wanaotorosha tumbaku na kusababisha vyama vya ushirika vya msingi kuingia kwenye madeni makubwa ambayo hadi sasa yanawasumbua kuyalipa.

 

10 years ago

GPL

MWANASHERIA MKUU WA SEREKALI, JAJI WEREMA AJIUZULU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) leo amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete. Rais Kikwete asema amepokea barua yake na kumshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha katika kipindi cha utumishi wake.…

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif Afungua Mkutano wa 31 Jumuiya ya Serekali za Mitaa Tanzania.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiingia ndani ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere Jijini Dar es salaam kuufungua Mkutano wa 31 wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kwa niaba ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda.Kulia yake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Hawa Abdulrahman Ghasia na aliyeko nyuma ya Balozi ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa ambae pia ni Meya wa Jiji la Dar es salaam Dr. Didas Massaburi.Balozi Seif...

 

10 years ago

Michuzi

SEREKALI YATAKIWA KUTOWAFUKUZA WATOTO WA KIKE WENYE UJAUZITO MASHULENI

Na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha
Serikali imetakiwa kutazama upya uwezekano wa kubadili sheria inayomnyima haki ya kuendelea na masomo mwanafunzi wa kike pindi anapopata ujauzito akiwa shuleni.
Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Afisa elimu taaluma ,mkoa wa Arusha,Kabesi katundu Kabeja wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa umoja wa wakuu wa shule za msingi kutoka nchi ya Kenya uliofanyika katika hotel ya Leons iliyopo Sakina kwa Idi ,jijini hapa,ambapo walimu zaidi ya 1000...

 

10 years ago

Michuzi

SEREKALI YA MPONGEZA PROFESA MBWETE KWA KUANZISHA MAKTABA BINAFSI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akizindua maktaba ya kisasa Binafsi iliyo anzishwa na Prof. Toli Mbwete nyumbani kwake Mavurunza B. anaye shuhudia uzinduzi huo ni Mama Halima Mbwete. Waziri Mwandosya amewataka wasomi hasa maprofesa kuiga mfano wa mwenzao ilikuweza kukuza elimu hapa nchini.Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu huria wa kwanza kilipo anzishwa,Prof. Jofrey Mmari walipo kutana...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI

Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje akiwakaribisha wajumbe wa mkutano wa kujadili ushirikishwaji wazawa (local content) katika sekta ya madini uliofanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Waliokaa meza kuu kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Kitengo cha Uchumi na Biashara, Salim Salim, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ndalo Kulwijila na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele. Mwanasheria wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Rose Mponguliana akiwasilisha mada kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani