Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEREKALI YA MPONGEZA PROFESA MBWETE KWA KUANZISHA MAKTABA BINAFSI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akizindua maktaba ya kisasa Binafsi iliyo anzishwa na Prof. Toli Mbwete nyumbani kwake Mavurunza B. anaye shuhudia uzinduzi huo ni Mama Halima Mbwete. Waziri Mwandosya amewataka wasomi hasa maprofesa kuiga mfano wa mwenzao ilikuweza kukuza elimu hapa nchini.Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu huria wa kwanza kilipo anzishwa,Prof. Jofrey Mmari walipo kutana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo

Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.

Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia  vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo  baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.

 Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana mpongeza Mbunge Lekule kwa uamuzi wake wa kutogombea tena

*Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha alia na watendaji wa serikali,asema ndio wanakiumiza chama

*Nape awapongeza wana CCM wilaya ya Longido kwa mshikamano na kuipa ushindi CCM kwenye Chaguzi

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Longido Ndugu Michael Lekule Laizer mara baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Engikareti mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Longido.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum kutoka kwa wenyeji...

 

5 years ago

Michuzi

RIPOTI YA CAG YAWAIBUA CUF, PROFESA LIPUMBA AAMUA KUTOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA RUZUKU MILIONI 300 ZILIZOHAMISHIWA AKAUNTI BINAFSI

Na  Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

SIKU moja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kukabidhi ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli , Chama cha Wananchi( CUF) kimeamua kujitetea baada ya ripoti hiyo kubaibainisha Chama hicho kilihamisha kwa fedha kutoka akaunti ya Chama hicho kwenda akaunti binafsi.

Akizungumza leo Machi 27,2020 ,Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba ametumia nafasi hiyo kuwaeleza waandishi wa habari hatua...

 

10 years ago

Dewji Blog

COMNETA wampongeza Prof. Mbwete

DSC_0348

 Mwenyekiti wa mtandao wa Redio Jamii nchini (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Wilayani Karagwe ya FADECO FM, Bw.Joseph Sekiku akizungumza katika hafla fupi ya kumuaga Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) ambaye amemaliza muda wake, Prof. Tolly Mbwete (katikati) iliyoandaliwa na Mtandao wa Redio za Jamii nchini (COMNETA). Kushoto ni Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi. Rose Haji Mwalimu.

DSC_0359

Katibu...

 

10 years ago

Vijimambo

SEREKALI YAONYA WANAOTOROSHA MADINI

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite one Hussein Gonga akiwa anamuonyesha Waziri wa nishati na majini George Simbachawene madini ambayo yanachibwa na kampuni yao. Na Woinde Shizza,Arusha Serikali imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku,ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi.


Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha mikutano cha Arusha(AICC) inakusudia kuanzisha kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

JK akabidhi vitabu kwa maktaba Jeshini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya Jeshi ili kuongeza taaluma.   Rais amekabidhi vitabu hivyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na kuahidi kuendelea kutafuta vitabu zaidi kwa ajili ya kuboresha Maktaba ya Jeshi iliyopo katika Chuo Cha Kijeshi kilichopo Monduli, Mkoani Arusha.   Maktaba hiyo ilianzishwa na Mheshimiwa Rais wakati alipokuwa mkufunzi katika chuo hicho...

 

11 years ago

Michuzi

WAKUSUDIA KUSAMBAZA HUDUMA YA MAKTABA KWA WENGI

Baada ya kuridhishwa na matumizi mazuri na mafanikio makubwa ya Maktaba yao ya kwanza waliyoifungua mwaka 2009 katika kijiji cha Ngongongare Mkoani Arusha,  Taasisis isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation yenye makazi yake nchini Marekani na ambayo ndiyo inayosimamia mradi wa uanzishwa na uendeshaji wa Maktaba hususani katika maeneo ya vijijini, sasa inakusudia kujenga maktaba nyingine sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Maktaba hiyo ya kwanza...

 

10 years ago

GPL

MWANASHERIA MKUU WA SEREKALI, JAJI WEREMA AJIUZULU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) leo amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete. Rais Kikwete asema amepokea barua yake na kumshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha katika kipindi cha utumishi wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani