Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


COMNETA wampongeza Prof. Mbwete

DSC_0348

 Mwenyekiti wa mtandao wa Redio Jamii nchini (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Wilayani Karagwe ya FADECO FM, Bw.Joseph Sekiku akizungumza katika hafla fupi ya kumuaga Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) ambaye amemaliza muda wake, Prof. Tolly Mbwete (katikati) iliyoandaliwa na Mtandao wa Redio za Jamii nchini (COMNETA). Kushoto ni Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi. Rose Haji Mwalimu.

DSC_0359

Katibu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Broadcast Warehouse ya Uingereza kusaidia COMNETA

DSC_0220

Mwenyekiti wa mtandao wa vyombo vya habari vya kijamii Tanzania (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa redio FADECO ya wilayani Karagwe, Bw. Joseph Sekiku, akimtambulisha mgeni kutoka nchini Uingereza kwa wamiliki wa redio za jamii katika mkutano uliojadili masuala ya kiufundi uliofanyika mwishoni mwa juma Chuo kikuu huria.(Picha zote na Zainul Mzige).

Na Mwandishi wetu

Kampuni Broadcast warehouse ya Uingereza imesema ipo tayari kusaidia radio za jamii ambazo kwa sasa zinakabiliwa na...

 

10 years ago

Michuzi

SEREKALI YA MPONGEZA PROFESA MBWETE KWA KUANZISHA MAKTABA BINAFSI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akizindua maktaba ya kisasa Binafsi iliyo anzishwa na Prof. Toli Mbwete nyumbani kwake Mavurunza B. anaye shuhudia uzinduzi huo ni Mama Halima Mbwete. Waziri Mwandosya amewataka wasomi hasa maprofesa kuiga mfano wa mwenzao ilikuweza kukuza elimu hapa nchini.Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu huria wa kwanza kilipo anzishwa,Prof. Jofrey Mmari walipo kutana...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

9 years ago

Habarileo

Mwanza wampongeza JK

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kulitumikia taifa kwa uaminifu na uadilifu. Katibu wa CCM mkoani hapa, Miraji Mtaturu alitoa pongezi hizo jana wakati akielezea mafanikio yaliyofikiwa na serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wake.

 

9 years ago

Habarileo

Marekani wampongeza Kikwete

VIONGOZI wa Marekani wamemmwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa ujenzi na ulezi wa demokrasia, heshima kwa haki za binadamu na zaidi ya yote uheshimu wa Katiba, ambao unamwezesha kuondoka madarakani kwa mujibu wa Katiba na kukabidhi madaraka kwa Rais ajaye kwa hiari na kwa amani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngumi wampongeza Waziri Membe

SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT), limempongeza Waziri wa Mambo Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kwa hatua na jitihada alizozifanya za kutafuta na kufanikisha kambi ya mazoezi kwa timu...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazee wa Chadema wampongeza Kingunge

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limempongeza Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kwa kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na upande wa mabadiliko kikisema ni jambo la kuigwa.

 

9 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo wampongeza Magufuli

WACHIMBAJI wadogo wa madini ya tanzanite mkoani hapa na Manyara wamempongeza Dk John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumwomba afute vibali vyote vya wafanyabiashara kutoka India wanaoingia nchini kununua madini hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani