Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani wampongeza Kikwete

VIONGOZI wa Marekani wamemmwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa ujenzi na ulezi wa demokrasia, heshima kwa haki za binadamu na zaidi ya yote uheshimu wa Katiba, ambao unamwezesha kuondoka madarakani kwa mujibu wa Katiba na kukabidhi madaraka kwa Rais ajaye kwa hiari na kwa amani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

LUDEWA WAMPONGEZA RAIS DKT JAKAYA KIKWETE


Rais Dr Kikwete  Na  Francis Godwin Blog  WANANCHI  wa Ludewa  mkoani  Njombe  wamempongeza  Rais Dr Jakaya Kikwete kwa  hatua  yake ya  kuwashirikisha  wananchi wa maeneo husika katika suala la utatuzi wa mgogoro wa mpaka  kati ya Tanzania na Malawi
Hatua  ya  wananchi  hao  kumpongeza  Rais  Dr Kikwete  imekuja  huku  ikiwa ni  siku  tatu zimepita  toka  mbunge wao  wa jimbo  la Ludewa Deo Filikunjombe ,mbunge wa jimbo la Kyela Dk. Harrison Mwakyembe na mbunge wa   jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

UVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake nzuri iliyojaa ufafanuzi bayana wa masuala makubwa ya kitaifa, likiwemo suala la Akaunti ya Escrow ya Tegeta, yaliyoleta mkanganyiko kwa wananchi, aliyoitoa jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee alipozungumza na wazee wa jiji la Dar es salaam.
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aenda Marekani

Rais Jakaya Kikwete ameondoka Jumatatu usiku kwenda Marekani kuanza ziara ya wiki mbili nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete afanyiwa upasuaji Marekani

>Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Apewa Tuzo Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas....

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AELEKEA NCHINI MAREKANI LEO

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yakeRais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UN

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani