Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERENGETI FIESTA MUSOMA YAFANA

Recho akifungua rasmi dimba la burudani. Wasanii Young Killer na Barnaba (katikati) wakiwa tayari muda mfupi kabla ya kupafomu'. Young Killer akikamua stejini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAHARISHWA MUSOMA

Tamasha la Fiesta lililokuwa lifanyike leo Musoma limeahirishwa kutokana na ajali iliyotokea mkoani humo leo na kuua watu zaidi ya 20.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni kivumbi Serengeti Fiesta Musoma leo

BAADA ya kivumbi cha burudani ya Serengeti Fiesta 2014, kutikisa katika mikoa mitano na kuacha simulizi ya aina yake, leo ni zamu ya wakazi wa mji wa Musoma na vitongoji...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUFANYIKA KESHO MUSOMA

Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (wa tatu kutoka kushoto mbele) leo amesema Tamasha la Fiesta lililoahirishwa Musoma kutokana na ajali, litafanyika kesho, Jumapili. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL, MUSOMA)

 

11 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA KAMATA FURSA YAWASISIMUA WAKAZI WA MUSOMA

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mtahaba akifungua Semina ya Kamata Fursa Jitathimini, Jiamini kisha Jiongeze mapema leo kwenye Ukumbi wa Bwaro la Magereza mjini Musoma. Mkuu wa Mkoa wa Busega, Paul Mzindakaya akiwaonyesha fursa mbalimbali wakazi wa Musoma.…

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Musoma

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Musoma lililofanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu (September 7) katika uwanja wa Karume limeacha historia kutokana na shangwe kutoka kwa wasanii mbalimbali ambapo kila mmoja alionyesha uwezo wake mbele ya mashabiki hao. Full shangwe Musoma Tamasha hilo lililoanza saa nne za usiku liliendana sambamba shughuli za maombolezo kwaajili ya watu […]

 

11 years ago

GPL

WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA

Msanii Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini  Musoma leo. Nay wa Mitego akikabidhi moja…

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.

 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,pichani wa tatu shoto Ruge Mutahaba akiwa sambamba na baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajiwa kutumbuiza leo usiku mjini Musoma kwenye tamasha la Fiesta,lakini hata hivyo Uongozi wa Clouds Media Group,Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji pamoja na Wadhamini wa tamasha hilo kwa pamoja wamekubaliana kuaihirisha onyesho hilo mpaka hapo baadae itakapotangazwa tena.
Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba

Wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba. […]

 

11 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani