TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUFANYIKA KESHO MUSOMA
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (wa tatu kutoka kushoto mbele) leo amesema Tamasha la Fiesta lililoahirishwa Musoma kutokana na ajali, litafanyika kesho, Jumapili. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL, MUSOMA)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWZ ALERT:TAMASHA LA FIESTA SASA KUFANYIKA KESHO JUMAPILI MJINI MUSOMA.
MKurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi,Bwa.Ruge Mutahaba (Wanne kulia) kwa niaba ya uongozi wa Clouds Media Group na PrimeTime Promotions Ltd ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta 2014,ametangaza rasmi kuwa onesho la tamasha hilo lililobeba ujumbe murua kabisa wa sambaza upendo, litafanyika kesho jumapili ndani ya uwanja wa Karume.
Tamasha hilo la Fiesta lilipangwa kufanyika JANA ijumaa mjini Musoma mkoani Mara lakini kufuatia ajali mbaya iliyotokea mkoani humo jana na kusababisho...
10 years ago
MichuziTAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.
Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...
10 years ago
GPLSERENGETI FIESTA MUSOMA YAFANA
10 years ago
GPLSERENGETI FIESTA YAHARISHWA MUSOMA
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ni kivumbi Serengeti Fiesta Musoma leo
BAADA ya kivumbi cha burudani ya Serengeti Fiesta 2014, kutikisa katika mikoa mitano na kuacha simulizi ya aina yake, leo ni zamu ya wakazi wa mji wa Musoma na vitongoji...
10 years ago
GPLSERENGETI FIESTA KAMATA FURSA YAWASISIMUA WAKAZI WA MUSOMA
10 years ago
Bongo508 Sep
Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Musoma
10 years ago
GPLWASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA
10 years ago
Bongo512 Sep
Serengeti Fiesta kufanyika leo Shinyanga