Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT:TAMASHA LA FIESTA SASA KUFANYIKA KESHO JUMAPILI MJINI MUSOMA.

 
 MKurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi,Bwa.Ruge Mutahaba (Wanne kulia) kwa niaba ya uongozi wa Clouds Media Group na PrimeTime Promotions  Ltd ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta 2014,ametangaza rasmi kuwa onesho la tamasha hilo lililobeba ujumbe murua kabisa wa sambaza upendo, litafanyika kesho jumapili ndani ya uwanja wa Karume.
Tamasha hilo la Fiesta lilipangwa kufanyika JANA ijumaa mjini Musoma mkoani Mara lakini kufuatia ajali mbaya iliyotokea mkoani humo jana na kusababisho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUFANYIKA KESHO MUSOMA

Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (wa tatu kutoka kushoto mbele) leo amesema Tamasha la Fiesta lililoahirishwa Musoma kutokana na ajali, litafanyika kesho, Jumapili. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL, MUSOMA)

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SINGIDA WAKUNWA NA UPENDO WA TAMASHA LA FIESTA,KESHO JUMAPILI KURINDIMA MJINI DODOMA

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake Zone,Lina Sanga ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Oletemba,akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu wakati wa tamasha la Fiesta lililofanyika jana katika uwanja wa Namfua,kulia ni mmoja wa wacheza shoo wake akiwajibika jukwaani. Kundi mahiri la muziki wa kizazi kipya litambulikalo kwa jina la Makomando wakilishambulia jukwaa la Fiesta hapo jana ndani ya uwanja wa Namfua mjini Singida. Sehemu ya umati wa watu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Fiesta 2014 laiteka Singida, leo Jumapili kurindima mjini Dodoma

 Baadhi ya mwashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 wakishangilia kwa hisia,wakati shoo ikiendelea jukwaani ndani uwanja wa Namfua mjini Singida.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake Zone,Linah Sanga ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Oletemba,akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu wakati wa tamasha la Fiesta lililofanyika jana katika uwanja wa Namfua,kulia ni mmoja wa wacheza shoo wake akiwajibika jukwaani.  Kundi mahiri la muziki wa kizazi kipya litambulikalo...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA KWA WAKAZI WA MUSOMA.

Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea  hivi karibuni wilayani Butiama mkoani Mara,ambapo watu zaidi ya 40 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
 Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa musoma wakiwa ndani ya uwanja wa Karume,wakati tamasha la Fiesta 2014,likiendelea huku shangwe za hapa na pale zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja. Mmoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.

 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,pichani wa tatu shoto Ruge Mutahaba akiwa sambamba na baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajiwa kutumbuiza leo usiku mjini Musoma kwenye tamasha la Fiesta,lakini hata hivyo Uongozi wa Clouds Media Group,Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji pamoja na Wadhamini wa tamasha hilo kwa pamoja wamekubaliana kuaihirisha onyesho hilo mpaka hapo baadae itakapotangazwa tena.
Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mahakama yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion.Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura mahakamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani