Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serenkuma ajiunga na kilabu ya Simba TZ

Aliyekuwa Mshambuliiaji wa mabingwa wa soka nchini Kenya Gor Mahia Dan Serenkuma amejiunga na kilabu ya Tanzania Simba SC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Dzeko ajiunga na kilabu ya Roma

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Edin Dzeko amejiunga na kilabu ya ligi ya Seria A Roma kwa mkopo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchazaji wa kilabu ya Wolfsburg afariki

Mchezaji wa safu ya ulinzi katika kilabu ya Wolfsburg nchini Ujerumani Junior Malanda amefariki katika ajali ya barabarani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kilabu ya watoto yafunguliwa N.York

Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 imefunguliwa rasmi katika mji wa New York nchini Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Anelka kuifunza kilabu ya Mumbai

Aliyekuwa mchezaji wa vilabu vya Arsenal na Chelsea Nicolas Anelka amechaguliwa kama mkufunzi wa klabu ya Mumbai City.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi waitia kilabu mashakani Brazil

Mlinda lango mweusi aliyebaguliwa kirangi nchini Brazil akataa msamaha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Deni la kilabu ya Man United laongezeka

Mapato ya matangazo ya kilabu ya Manchester United yameshuka kutokana na timu hiyo kukosa kushiriki katika ligi ya vilabu bingwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kilabu za Ulaya kukutana kuhusu Qatar 22

Kilabu za Ulaya zitakutana ili kutoa ombi kwa shirikisho la FIFA kuandaa michuano ya dimba la dunia nchini Qatar mwezi Aprili

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Dortmund kuihama kilabu hiyo

Kocha wa kilabu ya Borrusia Dortmund Jurgen Klopp amesema ataondoka katika kilabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ndio kilabu tajiri duniani

Real Madrid ndio timu tajiri zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo kulingana na jarida la biashara la Forbes.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani