Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anelka kuifunza kilabu ya Mumbai

Aliyekuwa mchezaji wa vilabu vya Arsenal na Chelsea Nicolas Anelka amechaguliwa kama mkufunzi wa klabu ya Mumbai City.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Nicolas Anelka Matatani

Shirikisho la mchezo wa soka nchini Uingereza limemfungulia mashtaka Nicolas Anelka kufuatia madai ya kuonyesha ishara ya kibaguzi

 

11 years ago

BBCSwahili

West Brom yamtimua Nicolas Anelka

Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefutwa kazi na klabu ya West Brom kwa kosa la utovu wa nidhamu.

 

10 years ago

Mtanzania

Michuano ya Kagame kuifunza Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema atatumia michuano ya Kombe la Kagame kujifunza mbinu za kukisaidia kikosi chake katika michuano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika na siyo usajili.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Julai mwaka huu, kwa kushirikisha mabingwa wa klabu ambao ni wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Ghana kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viera aorodheshwa kuifunza Newcastle

Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal na Manchester City Patrick Vierra ameorodheshwa miongoni mwa watu wanne wanaotarajiwa kuchukua ukufunzi wa kilabu ya Newcastle nchini Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyefadhili mabomu Mumbai ameyongwa

Mtu aliyepatikana na hatia ya kufadhili kifedha milipuko ya mabomu mjini Mumbai, amenyongwa huko India.

 

10 years ago

BBCSwahili

Keshi kuendelea kuifunza Nigeria

Stephen Keshi amesema kuwa ataendelea kukisimamia kikosi cha soka nchini Nigeria licha ya kuwa hajasaini kandarasi mpya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sam Allardyce kuifunza Sunderland

Klabu ya Sunderland nchini Uingereza imemteua Sam Allardyce kama mkufunzi wa timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyefutwa na Tottenham kuifunza Villa

Tim Sherwood ameteuliwa kama meneja mpya wa kilabu ya Aston Villa baada ya kuweka sahihi ya kandarasi ya hadi mwaka 2018.

 

9 years ago

BBCSwahili

Benni McCarthy kuifunza klabu ya Ubelgiji

Mshambuliaji wa zamani wa taifa la Afrika Kusini Benni McCarthy ndio mkufunzi mpya wa klabu ya Ubelgiji Sint-Truidense.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani