Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali haifadhili miradi ya mazingira

OFISI ya Makamu wa Rais imesema haina fedha za kuwasaidia vijana katika miradi ya kuhifadhi mazingira. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitanga alisema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA


JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI WA MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU (LEACHING AND ELUTION PLANTS) KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT) NA UKAGUZI WA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL AUDIT)
Dar es Salaam, May 5, 2020.

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linawatangazia wawekezaji wote wanaojihusisha na shughuli za uchenjuaji wa madini ya dhahabu (“vat leaching na elusion plants”) kuwa, kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka...

 

9 years ago

Michuzi

MIRADI YA MKUHUMI ILIVYOSAIDIA KUHIFADHI MAZINGIRA.


               (Jovina Bujulu-MAELEZO) Sekta ya ardhi nchini ni ya kipekee katika uthibiti wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwa ndiyo sekta pekee ambapo ndipo uzalishaji na uondoaji wa kaboni hutokea.
Mfumo wa matumizi mapana ya ardhi ambao siyo endelevu unapaswa ubadilishwe ili nafasi yake ichukuliwe na matumizi ambayo ni sahihi na endelevu zaidi tofauti na hali ilivyokuwa mwanzo. Hatua hiyo ni pamoja na kutumia vyema ardhi iliyopo kwa kupunguza uzalishaji wa gesi joto unaotokana na...

 

10 years ago

Habarileo

Miradi Nyanda za Juu yatekelezwa bila vyeti vya mazingira

ASILIMIA 87 ya miradi ya 124 ya uzalishaji na maendeleo iliyokaguliwa katika mikoa ya Nyanda Juu Kusini inatekelezwa bila ya kuwa na vyeti vya mazingira.

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YATEKELEZA MIRADI YAKE

MAKALA MAALUMU YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) .KUONESHA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI YA MAJI PAMOJA NA JITIHADA ZA MAMLAKA HIYO KATIKA KUHAKIKISHA INAFIKISHA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI NA MAENEO JIRANI INAYO HUDUMIA KWA MUDA WA SAA 24.
Video ya Makala haya imeandaliwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA ZA KANDA YA ZIWA ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

 Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akitembelea  Bandari ya Mwanza Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akioneshwa kiwanja kitakachotumika kujenga kituo cha utafutaji na uokoaji katika ziwa Victorai (MRCC) njini Mwanza.
Na Faraja Mgwabati Mheshimwa Dkt.Abdulla Juma Abdulla Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki amehitimisha ziara yake ya Siku sita kitika Wilaya  zinazotekeleza miradi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki akagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mradi wa Kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala jana alishindwa kuzindua Mashine ya kuchakata Alizeti iliyotolewa na Mradi wa kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II kwa sababu ya kuwa na kasoro ndogo ndogo za kiufundi na utendaji.
Akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Kilulu nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Juma alisema ikiwa ni ahadi yake ya kuzindua mashine hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo baada ya kutokeza kasoro za kiufundi na ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAWASILISHA MIRADI YAO YA KILIMO NA MAZINGIRA KWA WANAKIJIJI WA KISANGA WILAYANI KISARAWE PWANI

 Washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 wakiwa katika Bwawa la Lamboni wakipata maelezo kutoka kwa wanakijiji hii ikiwa ni moja ya sehemu ya ziara yao jana . Wenyeji pamoja na  Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula wakielekea Mabondeni..Ilikuwa ni nafasi yao ya kufahamu maeneo mbalimbali Kijijini hapo... Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa chakula wakioneshwa Madhari ya shule ya Msingi ya Kisanga na mmoja wa wanakijiji aliyesimama Mbele Kulia.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanza kuhami mazingira ya Msimbati

SERIKALI imeanza kuchukua hatua za awali za kunusuru kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichoko eneo la Msimbati mkoani Mtwara, kisiendelee kuharibiwa kwa maji ya bahari yanayoendelea kuingia ndani.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UKUSANYAJI TAKWIMU


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiweka jiwe la msingi katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoa wa Kigoma, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Rashid Mchata.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msengwa, wakipokea hati ya kiwanja eneo ambalo Ofisi ya NBS Mkoa wa Kigoma kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Bw. Rashid Mchata,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani