Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imekata tamaa ajali za barabarani?

Taifa limo katika majonzi kutokana na ajali iliyotokea mkoani Singida juzi usiku na kuua watu 19, wakiwamo askari polisi wanne wa Kituo Kikuu cha Polisi mkoani humo baada ya kugongwa na basi la abiria lililokuwa likitoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yajipanga kuondoa ajali za barabarani nchini

IMG_2079

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ikiwemo kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuendelea kununua vifaa vya kisasa vitakavyosaidia kupunguza tatizo la ajali nchini,wakati wa mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam.

IMG_2065

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

SHAIRI: Ajali za barabarani

Ajali za barabarani!
Ninalianza shairi, kwa majonzi ya dhahiri,Kwa kuwa tena si siri, ajali zimekithiri,Zaua kwa utitiri, hii sasa ni hatari,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Nianze na madereva, kisha nimvae Kova,Unapokua dereva, tunahisi umeiva,Si mambo ya kujilevya, na kuua kina Eva,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Umakini safarini, ndio nyenzo namba wani,Sheria barabarani, zifuate kwa makini,Sifa za vibarazani, hazina tija jamani!,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Bosi...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Habarileo

Elimu yapunguza ajali barabarani

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema ajali za barabara zimepungua hadi 7,570 kwa kipindi cha Januari hadi Novemba mwaka huu ikilinganishwa na ajali 13,466 zilizotokea kwa kipindi kama hicho mwaka jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali za barabarani zaongezeka Iringa

TAKWIMU zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko la ajali za barabarani mara saba zaidi zinazohusisha pikipiki Mkoa wa Iringa kati ya Januari 1 hadi Machi 31 ikilinganishwa na miezi kama hii mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali za barabarani zapungua 2013

IDADI ya ajali za barabarani na vifo, imepungua kutoka watu 157 mwaka 2012 hadi watu 123 mwaka jana mkoani hapa. Kwa mujibu wa takwimu za Jeshi la Polisi Mkoa wa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo wahusishwa ajali za barabarani


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya vigogo nchini wanadaiwa kukwamisha mchakato wa kuzuia matumizi ya mabasi chakavu ya abiria, ambapo huingilia kati pindi sheria inapotaka kuchukua mkondo wake.
Pia, baadhi wamekuwa wakilazimisha askari wa usalama barabarani kutojaribu kuyakamata mabasi hayo, hatua inayodaiwa kukwamisha utendaji kazi wa askari.
Kwa mujibu wa sheria, magari yote yaliyochakaa hayaruhusiwi kubeba abiria ili kupunguza ajali ambazo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na uchakavu.
Mwanzoni mwa...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali barabarani yaua wanafunzi 5

SIKU tatu baada ya kutokea ajali mkoani Lindi na Singida zilizogharimu maisha ya Watanzania 27, wakazi wa Mtwara nao wameingia katika majonzi baada ya gari dogo kupamia wanafunzi wa Sekondari ya Mustafa Sabodo, waliokuwa kwenye mchakamchaka na kuua watano.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani