Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kujenga vyuo vikuu kwenye kanda

RAIS Jakaya Kikwete amesema ilikuwa lazima kuchukua hatua za haraka za kimapinduzi za kujenga shule za sekondari za kata nchini mwanzoni tu mwa uongozi wake kwa sababu kiwango cha watoto, waliokuwa wanamaliza darasa la saba kuingia sekondari, kilikuwa kimeshuka mno na kufikia asilimia sita tu kwa sababu ya ukosefu wa nafasi katika sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu

 Serikali imekunjua makucha yake katika kudhibiti ada zinazotozwa katika vyombo vya utoaji elimu chini.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaomba radhi kwa migomo vyuo vikuu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini, kwa kuchelewa kuwafikishia fedha zao za kujikimu. Hata hivyo, aLIsisitiza kuwa tangu juzi fedha hizo zilishatoka Hazina.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: SERIKALI IMEFUNGA VYUO VYA KATI, VIKUU KUJIKINGA NA CORONA

SERIKALIimeagiza vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu vifungwe kwa muda wa siku 30 kuanzia leo Machi 18, 2020 ili kuondoa msongamano katika maeneo hayo na kuweza kujikinga na virusi vya corona.
Amesema hadi leo, nchini kuna jumla ya watu watatu waliobainika kuwa na virusi vya corona ikiwa ni ongezeko la wagonjwa wawili, mmoja ni raia wa Ujerumani (24) aliyegundulika Zanzibar na mwingine ni raia wa Marekani (61) aliyegundulika Dar es Salaam. Wote wapo katika uangalizi. ...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuUBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'

VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vyuo vikuu Ghana vyahusishwa na IS

Ghana imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai kuwa vyuo vikuu vimetumika kama vituo vya kuwasajili wapiganaji wa Islamic State

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani